Nipeni sababu kumi kwanini nisioe mnyarwanda

Yani over my dead body Siwezi kuoa hapa Tanzania kwanza Madenti wengi wa nchi hii hawajui True love huku Kigali kuna watoto wazuri inside out aiseee mpaka sasa sijaona mwenye sababu za msingi za kunishawishi nisioe huku kama zipo sababu niambieni labda nitabadili mawazo View attachment 345335

You're the Master of your own destiny, dude!. Do what's best for you!.
 
Uzoefu wako ni Tanzania (madenti) na huko Rwanda, vipi ushatembelea kwenye miji hii
1. Asmara - Eritrea
2. Luanda - Angola
3. Addis Ababa - Ethiopia

Tembelea na huku utakuwa na uwanda mpaka wa kufanya maamuzi.
 
Kwanini uwachukue madent na unajua bado anasoma
NI UTOTO TU AKISHAOA NDO ATAJUA.
1. Hutakuwa na mtoto wako toka kwa mkeo.
2. Hutoruhusiwa kusaidia ndugu zako.
3. Hutoruhusiwa kuendeleza nyumbani kwenu.
4. Kiburi ndo nyumbani kwa mabinti hawa.
5. Dharau kwao jadi.
6. Wachafu ndani - usiangalie wakitoka nje wakangara
7. Daima wanaamini hakuna mtu zaidi yao - hasa wenye sura kama uloweka hapo
8. Usiisaau namba moja imebeba mengi
9. Usiisaau namba 5 pia
10. Ongeza ya kwako moja

Nawafahamu, nawajua, nimeishi nao kwani kwetu ni Bukoba, wako wengi sana. Karagwe nimekaa na nimekuwa na urafiki nao wa kimapenzi ila uaminifu kwao ni 0- akikutambulisha mtu kuwa huyu ni kaka yangu ujue kuwa mme mwenzio.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom