Kadi Poa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 2,015
- 1,005
Wadau,
Najua nyie wote ni wazima licha ya kuwa wengi wenu mnaugulia majibu yenu kimya kimya, leo nimekuja na wazo hili, hivi kama kuna pete za uchumba, pete za ndoa, kwanini tusiweke utaratibu wa pete za kuachana (divorced ring) tena iwe na rangi nyekundu kabisa kama tukipenda.
Au tunasubiri mpaka wazungu waanzishe na sisi ndio tuige?
Kwanini tunashindwa kuanza na kitu chetu wenyewe kisha wao wakafuata?