GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,212
Naileta kwenu kama nilivyoisikia.
Inasemekana kwamba Wanaume ambao huwa na uwezo wa kuhimili " kutokumkojoza " Mpenzi wake pale anapokaribia kufanya hivyo wawapo Mahabani ( wakimaanisha kuwa hupizi ndani ya dakika 30 mpaka 45 ) huwa na sifa zifuatazo:
Naomba kuwasilisha kwenu Wadau.

- Jasiri.
- Waaminifu.
- Wanajali.
- Wapambanaji.
- Wana akili sana.
- Mambumbumbu.
- Goigoi.
- Wachoyo.
- Waroho sana.
- Waoga.
Naomba kuwasilisha kwenu Wadau.