Kuachwa kusikupe stress

KACHINJA

JF-Expert Member
Dec 26, 2015
1,263
868
Kuachwa kusikupe stress, haijalishi umeachwa mara ngapi, jali kile ulichojifunza kutoka kwa mtu aliyekuacha.

Kila anayeingia maishani mwako ana syllabus mkononi mwake, every topic anayokufundisha ichukulie serious huwezi jua mtihani wako utatungwa kwenye
Topic ipi.. Usipojifunza lolote kutoka kwenye relationships ulizopitia utaendelea kufeli daima.
 
the more your capacity to love, the more your capacity to feel pain!.

where there is no deep love,there is no deep disappointment

Pole mkuu kama shemeji kakutenda,wanaume tumeumbiwa mateso..!
 
Yaliyomo yamo tunajifunza kutokana na makosa, yakishatokea yametokea kurudi nyuma haiwezekani ni kuendelea mbele tu kwa kuzingatia ulipojikwaa awali na kuangukia wapi ili yasitokee tena

hakika na kweli.
 
da pole

mm nilifiwa na baba last year ila nilisahau mapema bt nimeachwa na kpnz changu tangu mwez wa 12 ila mpaka sasa cjasahau roho inauma kwel ata jana kdogo nimtumie msg nkamuomba mungu mawazo yake yafutike kichwan kwngu nampenda xna
 
Kumbe bado unampenda, mrudie tu
 
3c1c373c3ca8178385c24874d01ee439.jpg
 
mjamaa1 asee ni ngumu kwel ubaya niliambiwa ana ka umalaya kdogo japo cna uhakika sema naogopa
 
Ndi ndi ndi
Kuachwa kusikupe Stress, Haijalishi umeachwa mara ngapi, Jali kile ulichojifunza kutoka kwa mtu aliyekuacha.. Kila anayeingia maishani mwako ana Syllabus mkononi mwake, Every topic anayokufundisha ichukulie serious huwezi jua mtihani wako utatungwa kwenye Topic ipi.. Usipojifunza lolote kutoka kwenye Relationships ulizopitia utaendelea kufeli daima.
 
Hivi bado watu wanaachwa? Yaan mpaka akuache unakuwa umesubiri nn? Mna moyo! Jifunzeni kuacha kabla hujaachwa alikuhuliza vip? Jibu mbona mm nilishatoka mda! Vip wewe bado upo? Hapa lazima heshima ishike mkondo wake
Umejiuliza na ukajijibu, maajabu sana. Sijui ulitaka kusema nini au ulijisemea tu mradi ume comment.
Hata ukiacha wewe bado mtu atakuwa ameachwa.
Kwenye mapenzi hakuna kuachana lazima ukubali lazima kuna mmoja atapigwa chini tu.
 
Mimi nakuunga mkono ktk hili kuna mtu unaweza ukampenda mpaka ukabaki unajishangaa, hujielewi.
Q
da pole

mm nilifiwa na baba last year ila nilisahau mapema bt nimeachwa na kpnz changu tangu mwez wa 12 ila mpaka sasa cjasahau roho inauma kwel ata jana kdogo nimtumie msg nkamuomba mungu mawazo yake yafutike kichwan kwngu nampenda xna
 
Ww una
Yaliyomo yamo tunajifunza kutokana na makosa, yakishatokea yametokea kurudi nyuma haiwezekani ni kuendelea mbele tu kwa kuzingatia ulipojikwaa awali na kuangukia wapi ili yasitokee tena

Unafaaa sanaa Kuolewa.
MaanaUmetoaComentNzurisanaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom