jr.kiyn
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 785
- 4,847
Kuna tukio limetokea hapa mtaani nafikiri linaweza tokea kokote pale na hasa Kwa mwenendo Wa jamii tunayoishi sasa:
Tukio lipo hivi...kuna jamaa hapa alikuwa anaishi na binti lakini siyo rasmi,wameishi Kwa mda tuu huku binti akimsisitiza kwenda kujitambulisha hata Kwa barua tuu,basi kila akiongea hilo suala anaishia kusimangwa na masingi juu.
Na mda mwengine binti anatishia kuondoka japo Mara kadhaa alishawai kuondoka,ikawa mazoea Kwa jamaa Kwa yule binti kuondoka na kurudi.
Hivi karibuni yule binti karudi kwao na ili kuondoa lawama akampgia simu jamaa na kumsisitiza aende wakamjue lkn jamaa akagoma tena Kwa kashfa Mara hii.
Hivi karibuni akamwambia jamaa anataka kuolewa,kama kawa "we olewa tuu, nani atakuoa weye bhana"
Mpaka nabandika Uzi huu jamaa kalazwa Kwa kipigo baada ya kuleta fujo kwenye harusi ya mwandani wake.....
Nawasilisha....