Likizo ya mapenzi(Hall pass)

Ukweli ndugu binadamu wa sasa wana maarifa sana usijaribu hilo jambo litakuumiza then utajuta baadaye
nakusoma mkuu....mana nikiwa naye hzo simu na msg za watu..mpaka kero...sasa sijui anawakataliaga wote au wengine tunashare..sifahamu
 
Back
Top Bottom