boyson onlye
JF-Expert Member
- Sep 13, 2015
- 1,108
- 1,397
Hi JamiiForums users,
Naamini mko wengi humu mnaondoa stress kwa kusoma mawazo ya watu na kujisahaulisha kidogo kupungua kwa kipato tulichokizoea kwa siku maofisini.
Wacha niende kwenye mada
Naamini wengi wetu tunamatukio mengi sana, ya kipindi kile tuko primary level kwa wale walioanza kwa sheria ya mpaka uguse sikio la upande wa pili ndio una kigezo cha kuanza darasa la kwanza
Hivi unakumbuka matukio uliyoyafanya wakati ule uko foolish stage. Me nakumbuka nilikuwa mwoga wa wasichana. Lakini nikiwa mwenyewe chumbani napanga kabisa leo msichana flani lazima nimwambir ila nikikutana nae daaash naishiwa pozi na maneno yote nasahau,
Tukio jingine nakumbuka nishawai kupigana sana kisa wasichana yaani nikisikia demu wangu anatoka na mtu mwingine school ni ugomvi tu ila kuna siku nilipigwa na kundi moja ivi shule. Walikuwa wanajiita (lost boys) yaani siwasahau
Tukio jingine nilishawai kumuitaga demu alivyokuja nilimwamkia tu nikamwambia (shikamoo). Lakini siku ya chache mbele nilikutana nae nikamwambia nakupenda afu nikakimbia
Kuna tukio nakumbuka nilimkimbiaga demu ambaye rafiki zangu walinitongozea wakanipelekea hadi ndani ila me walivyoniambia niende niliogopa nikazama mitimi
Hebu jikumbushe tukio ulilofanya hapa kuhusu mapenz kipindi kilee cha mwalimu