Wanaume walivyo waaminifu zaidi

shabaan Dogo

Senior Member
Apr 27, 2014
197
79
Kuna jamaa mmoja alienda porini kukata mkaa siku moja yupo juu ya mti upanga ukadodokea mtoni jamaa akaanza kulia ghafla akatokea malaika na kumuuliza"
Malaika" ni nini kina kuliza?

Jamaa" upanga wangu umedondokea mtoni na ndio nategemea maishani mwangu,

Malaika akazama mtoni na kuibuka na upanga wa dhahabu na kumuuliza ndio huu?

Jamaa" hapana!

Malaika akazama tena na kuibuka na upanga wa shaba akamuuliza ndio huu?

Jamaa" hapana!

Malaika akazama tena na kuibuka na upanga wa chuma na kumuuliza ndo huu?

Jamaa" ndio huo,

Malaika akafurahi sana na akampa panga zote tatu!

Siku nyingine jamaa yipo anatembea na mkewe ghafla mkewe akatereza na kuangukia mtoni jamaa akaanza kulia, malaika akatokea na kumuuliza nini kinakuliza?
Jamaa" mke wangu ameangukia mtoni,
Malaika akazama akaibuka na wema sepetu akamuuliza ndo huyu?

Jamaa akajibu ndio,

Malaika akakasirika sana na akamuuliza kwa nini umenidanganya?

Jamaa nlijua ninge kataa unge zama tena na ungeibuka na anti ezakiel na ninge kataa ungezama tena na kuibuka na mke wangu jinsi ninavyo kujua ungeniachia wote watatu na mimi sina uwezo wa kuwa hudumia ndo maana nlikubali mapema!!!

Umeona wanaume walivyo...?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Upuuzi mtupu.kacopy then kapaste then hakuna maelezo nyongeza.
 
Uko mapumziko nini. Kengele ya kurudi darasani bado haijalia? Usisahau kurudi darasani baada ya kunywa uji wa saa nne na nusu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom