Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Sasahivi wanaume wamekuwa waongo kuliko kitu chochote hasa kwa sisi wanaume kwanini unamwambia mwanamke kwamba nitakupa kila kitu unachotaka nikubalie tu ili uone yule msichama akishakubali basi...
1 Reactions
53 Replies
6K Views
Huyu dada alikuwa gf wangu long time kitambo. Katika harakati za maisha tukaja kupotezana, si unajua enzi hizo hakuna mitandao. Sasa mwezi wa 10 mwaka jana tukaja kukutana katika pilika pilika za...
5 Reactions
49 Replies
8K Views
Hivi unajua maana ya neno “engagement?” yaani kile kitendo cha mwanaume kutangaza mbele ya umma jinsi moyo wake ulivyompenda binti fulani na kama alama ya kuthibitisha nia hii ya dhati kijana huyu...
1 Reactions
5 Replies
14K Views
John na Rose walikuwa majirani na walisoma shule moja nchini Kenya, walipendana sana na uhusiano wao ulihama kutoka kwenye urafiki na kuwa mapenzi. Waliahidiana kufunga ndoa, walimaliza shule...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Unapotoka:DAR!! Unasafiri kwenda:DAR!! Unapoishi:DAR!! Ulipozaliwa:DAR!! Unapofanyia kazi:DAR! Zis iz amazing!
0 Reactions
34 Replies
5K Views
C
3 Reactions
39 Replies
6K Views
Kimsingi mambo yamepamba moto,hakukaliki kichwa kinapasha joto. Kumbe kidume amedaka simu ya mke wake akaanza kuchat na mimi story kali za yale mambo yetu,na mimi nikafunguka balaa nikijua nachat...
6 Reactions
158 Replies
19K Views
SPECIAL KWA WADADA Umepata Bwana, Umempenda Kweli kweli na Umemlalamikia Sana Eti Kwanini Hakupeleki Kwa Wazazi Wake Kukutambulisha, Jamaa Akagoma Sana mwishowe akaona isiwe Kesi Akakupeleka...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu kitambo nilipotea ila nimerudi Nampenda lakini nataka nimuache kila nikifikiria kumuacha ananifanyia jambo zuri nasahau mawazo ya kumuwacha,najikuta najiona mjinga nipeni...
1 Reactions
45 Replies
8K Views
Habari yenu w.akuu, Kuna Watu nasikia wanasema eti vile vishangazi kwenye ngozi(vialama fulani rangi nyeusi wengine wanaita watoto) ndo idadi ya watoto utakao zaa? Eti mtu ambaye hazai hawezi...
0 Reactions
44 Replies
14K Views
Hivi jamani mwanaume mzima unamshtaki mkeo kwenu tena kwa mama mkwe? Huwa mnafkiria nini mbona mambo ya kike hayo
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Image copyrightENOA Image captionJansen amesema ujumbe wake umefasiriwa visivyo Jaji mmoja mzungu nchini Afrika Kusini ameshutumiwa vikali baada ya kudaiwa kusema kwenye mitandao ya kijamii kwamba...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Mimi kijana miaka 32 elimu yangu ni masters level.Natafuta binti wa kuoa kuanzia miaka 22-26. Awe muislam mwenye kujitambua kuanzia mavazi nk.Awe na elimu yake awe na shahada ya ualimu, nursing...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wadau, Hivi mwanamme kuwa na kuwa na uwezo wa physical fitness, pia uwezo wake katika mapenzi ni mkubwa? Maana ninavyojua mimi, ukiwa vizuri kimazoezi, yaani physical fitness, almost kila...
4 Reactions
28 Replies
6K Views
Salam wana JF, Je unajisikiaje kama kwenu mumeshaolewa na mnazaa ndipo na mama yako anaanza kuzaa pamoja na wewe(nyie)?Yaani mimi nina mtoto mchanga na ndugu yangu anaefatia anamimba sasa na mama...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Dunia tambara bovu jamani kuna binti amemaliza form 4 nimekutana nae kwenye mtandao ya kijamii tukawa friends nilipoenda mkoa tukaonana kiukweli ni binti mdogo ni mfupi ana kaumbo kadogo hadi...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
salaaam! ni ivi,jumapili nilikuwa natoka safari toka shinyanga to Iringa,nikiwa stend kuu ya shinyanga,akatokea kijana fulan alijitambulisha kwa jina na nikaweza tambua kuwa ni mkaguru. Baada ya...
7 Reactions
127 Replies
16K Views
Habari za asubuhi wana jamii, Natumai muwazima rejea kichwa cha habari hapo juu, Mimi ni kijana wa wa miaka 21 hadi sasa nimemaliza mtihan kidato cha sita hivyo niko huru nyumbani hivyo...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habarini wana MUM Binafsi huwa nashindwa kuelewa sana maana ya hilo neno KUHONGO kama linavyo tumiwa sana na vijana wa kizazi hiki! Ni neno ambalo limejipatia sana umarufu hasa katika mapenzi...
0 Reactions
14 Replies
17K Views
Back
Top Bottom