Mimi kwangu ni ngumu sana kuoa msichana anayeonekana kwenye vijiwe na maklabu

proxy

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
1,477
1,346
unnamed%2B(18).jpg

Kadili yangu ni ngumu kuoa Msichana anayeonekana kwenye vijiwe na maklabu akiwa anajirusha kama hivi,Je hii inaweza kuwa sababu pekee ya madada poa kuto kuolewa kwa sikuhizi?
 
Umejuaje hao n madada poa? Hao n wasichana tu wameenda club kuburudika na wachumba zao.
 
Kuna wanawake mengi waliopitia udada poa na baada ya kuchoka maisha waliolewa na wamekuwa ni mamaz wazuri na waaminufu...
 
unataka madada poa waolewe ili iweje??
wengine ndio wanapo-ponea hapo,madomo zege ndio wanapo-ponea hapo.
kama madada poa wakiolewa(wakitoweka)unadhani itakuaje hapo?? zaidi ya kesi za ubakaji zitakuwa nyingi
 
mmmm!!!!!!! huko club si wanapelekwaga na wenza wao? kwann uwahs madada poa wakat wameenda na masecurty wao?
 
Na nnani kakuambia ati madada pouwa hawaolewi?? Ukiweza kumpata ukamtoa huko viwanja ukamwingiza ndani ukamwachia ufungua ukaenda kazini ukirudi ukamkuta. Hutakaa umwache wala hatakaa aruke viwanja tena. Na wengi wao hugeuka malaika. Try one.
Kuliko kuoa binti alosoma pale Chuo cha fedha, heri ukachomoe viwanja
 
unnamed%2B(18).jpg

Kadili yangu ni ngumu kuoa Msichana anayeonekana kwenye vijiwe na maklabu akiwa anajirusha kama hivi,Je hii inaweza kuwa sababu pekee ya madada poa kuto kuolewa kwa sikuhizi?
Haroooo!! Kwa mbari namuona mutu amerizaririsha gueshi ra wanainchi kwa kutinga magwanda krabu.
 
Back
Top Bottom