Natafuta rafiki wa kike, nipo serious

Tua Ngoma

JF-Expert Member
Apr 14, 2015
3,185
8,292
Mini ni kijana wa miaka kama 25,26 au 27,naishi Mbeya,sina ajira ila nimemaliza degree ya kwanza ya elimu.
Sifa zangu
>mnene Kiasi
>mweupe kiasi
>sio mrefu wala sio mfupi
>Mcheshi,nikiwa sikufahamu nna maneno machache,nikiwa nakufahamu maneno mingi
>hardworking
NATAFUTA RAFIKI WA KIKE AGED FROM 21 TO 24,JUST FOR CHIT CHAT,MENGINE BAADAYE

SIFA ZAKE
>Awe mwembamba kiasi sio saaana
>awe mweusi (sio saana)
Asiwe mrefu sana (angalau kama messi)
>Asiwe amenizidi elimu
>AWE DINI YOYOTE (MIMI MKRISTU) lakini
>ASIWE CCM,UDP,CHAUSTA,JAHAZI,WALA CHAMA CHOCHOTE UCHWARA....(Nipo serious katika hili)
Tukienda sawa tunaweza kwenda sawa zaidi ya hapa na zaidi.
KARIBUNI SANA
 
Kidogo ukiingiza utamkosa wako,maana mabinti wanaojitambua watakutilia shaka
Mi nadhani anaejielewa ndiyo atakuja,suala la umri ni sawa na mtu anayesema nna umri kati ya miaka flan had flan,Mi narange humo,niombee Mkuu,maana naona hadi saiv kimya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom