Hivi kwa nini mabinti wengi hawapendi kuwa na mahusiano na sisi wachumi?

Mkuu tafuta mafanikio tuu, ata uwe umesomea uchumi au uwe mkulima mabinti watakupenda. Mabinti wa siku hizi wanafuata mwanaume mwenye mafanikio ata kama ni mchumi au mfanyakazi wa mochwari. Ukiona hawakufuati ujue hauna mafanikio
 
Kuna tendency ya mabinti hasa hawa warembo kuogopa kuwa kwenye mahusiano na sisi wanaume wenye shahada au fani za uchumi.hivi kwa nin huwa wanatukwepa sana?
Ina maana hata mabinti waliosomea uchumi nao hawa wataki wanaume wachumi?
 
Back
Top Bottom