Queen Rover
Member
- Apr 29, 2015
- 88
- 79
Habari wana JamiiForum na MMU kwa ujumla...
Leo nimeguswa kuongelea hichi kisehemu cha Love Connect ndani ya JF na watu wake kwa ujumla...
Tumekua tukiona watu wengi japo ni kwa ID fake wamekua wakijitokeza kwa ajili ya kutafuta wachumba/wapenzi na hata wengine kwenda mbali zaidi na kuwa na hitaji la Mme/Mke
Unakuta ni kwel mtu yupo serious na hitaji la moyo wake, hakuna formula ya sehemu utakayokutana na mwandani wako,sehemu yoyote unaweza kutana nae na akawa mwenzi mwema wa maisha, watu wamekua wakiwakatisha moyo wenzao juu ya kupata mpenzi mtandaoni,na wengine kuleta masihara kwenye nyuzi za wenzao ambao wapo serious, leo hii tunawaona wana ndoa wangapi na hatujui walikutana wapi, chooni,bar,kanisani,barabarani,kwenye mikesha,club na pengine,ata mitandaoni.
Mtu anapokua na imani yake usimkatishe kwa vile wewe unaamini hakuna mpnz anaetokea Fb,JF,Instagram,sijui wapi wapi... Usiweke masihara kwenye haja ya moyo wa mtu, pengine ata watu wanaanza kudharau hii sehemu ya Love Connect.
Nawaombea wote wenye nia njema na nzuri mnaotafuta mtapata, Mungu atawapa. Msiache na kuomba, watu ukutanishwa kokote.
Amina.