GedsellianTz
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 1,348
- 1,803
Ukitaka kumjua mwanamke mwenye furaha kwenye mapenzi yake au ndoa yake mtizame sura yake utajua kila kitu sababu hazina ya furaha na amani hutoka moyoni na kilichopo moyoni huonekana usoni.Macho mlango wa roho na moyo.
Ukiona mwanaume anapendeza sana na anajua kuvaa brand bora na nguo nzuri pamoja na viatu visafi na bora na kunukia vyema kwa marashi mazuri basi jua nyuma yake kuna mwanamke mzuri anaye mpendezesha mume wake daima.
Kitu chako lazima ukitunze kwa ubora wa hali ya juu. Kazi ya mke ni kumtunza Mfalme wako ambaye ni mumeo.A lady is a woman who makes a man behave like a gentleman.