Nataka kujua, utamjuaje akiwa katoka kuchepuka?

Ujue ili ikusaidie nini?
ukishajua ndo utafanyaje?
tatizo sio kufumania...tatizo ni maamuzi gani utafanya baada ya kufumania
Hii nayo point, ukimchunguza sana bata hutamla kabisa, wakati nyama ya bata ni tamu
 
Habar wana jf

Je utajuaje kama mwanaume wako katoka kuchepuka na m2 mwingne wakati huo hamjakutana wik mbil?

Karibun ila msitukane

Ukisharudi tu huko ulikoenda baada ya hizo wiki zako mbili na ukakutana nae kimwili ukiona " anajamba " sana hiyo ni dalili moja kubwa sana kwani kwa kawaida Mwanaume yoyote akitoka nje ya ndoa au mahusiano halafu muda mfupi baadae akakutana na Demu wake au Mkewe katika ile hali ya kutaka kuonyesha " manjonjo " ili asijulikane kama katoka kucheza " nje cup " hutumia nguvu nyingi katika kufanya tendo na pumzi huwa inakata hivyo hulazimika kutumia nguvu za ziada ambazo hufanya gesi nyingi kujaa na kupelekea " kujamba " japo mjambo huu kawaida huwa hauna madhara kwa aliye jirani kwani haunuki na uko friendly!
 
Usitumie kigezo cha kutosha kukufikisha kumtuhum kuwa kachepuka kwasababu hamjakutana wiki mbili wanaume tuna matatizo yetu
 
Mada nyingine bana. Fanyia uchunguzi dalili zilizopelekea udhani alichepuka.

Halafu inaonekana kama imeshakuwa established kwamba wanaume si waaminifu kwenye ndoa. Wanaume wote tukutane jioni kule whats app tujiulize, somebody could be snitching.
 
1468154705876.jpg
 
Ukisharudi tu huko ulikoenda baada ya hizo wiki zako mbili na ukakutana nae kimwili ukiona " anajamba " sana hiyo ni dalili moja kubwa sana kwani kwa kawaida Mwanaume yoyote akitoka nje ya ndoa au mahusiano halafu muda mfupi baadae akakutana na Demu wake au Mkewe katika ile hali ya kutaka kuonyesha " manjonjo " ili asijulikane kama katoka kucheza " nje cup " hutumia nguvu nyingi katika kufanya tendo na pumzi huwa inakata hivyo hulazimika kutumia nguvu za ziada ambazo hufanya gesi nyingi kujaa na kupelekea " kujamba " japo mjambo huu kawaida huwa hauna madhara kwa aliye jirani kwani haunuki na uko friendly!

Sent from my HUAWEI Y530-U00 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom