Kwa mwanaume kama huyu unakimbilia nini ndugu?

mahondaw

mahondaw

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Messages
17,129
Likes
26,198
Points
280
mahondaw

mahondaw

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2013
17,129 26,198 280
Hello guys!
Nashindwa kumwelewa huyu nduguyetu Si mimi tu hata familia haimuelewi na haitaki kumuelewa hata chembe! She is a graduate na ana kazi yake nzuri tu serikalini kwa mshahara wa degree! Kutokea kupendana kuliko haya maelezo na mume wa mtu mwenye familia kubwa tu ( mke na watoto watano).

Huyo baba yupo ndoani na his five baby's mama huu mwaka wa 9 na kwa kuangalia nikwamba wanapendana na kuendelea kupendana vizuri tu na mkewe huyo mwenye watoto 5 na hii juzi katoto ka 5 ndokamezaliwa!
Huyu mjinga kakaa tu eti anasubiri kuolewa na huyo baba mwenye mji wake namiaka kenda yandoa yenye watoto 5 na anazidi kuzalisha tu kwani ndokwanza mwanaume ana thirty one mkewe ana twenty four!

Huyo baba hana mijihelaa wala na hajasoma kaishia lasaba tuseme na wenyewe tu maisha yao yakujikokota ndohivohivo wameridhika nayo tu ilimradi wanavaa wanakula wana pa kulala lakini bidada hasikii haoni kwa mume wa mtu!

Mbaya zaidi the lady is a Christian and the man is an Islamic tena hawa itikadi kaliiii idiot huyu yupo tayari kubadili dini akahesabiane siku na mwanamke mwenzie aliemkomaza mumewe na cha kusikitisha zaidi huyo mkewe ni mama wa nyumbani tu wakuachiwa hela ya kuhemea kupika na kupakua na kumpelekea mumewe chakula kibandani nakurudi nyumbani.

Sasa huyu bidada mfanyakazi huyu ataachiwa hela ya matumizi kama mwenzie kweli ilhali anafanya kazi huyu au ndo kwenda kuhonga hela mwanaume ahudumie familia kubwa? Si kujitaftia mzigo tu watu wana miaka kibao watoto ju nahawana matatizo yoyote yanini kujiingiza sehemu kama hio ndugu ???

Sometimes she miss the man and the man is busy with his family ye kuishia kuvusha tu. Hata kuwasiliana shida asubuhi akiwa kwake no communications, mchana mkewe akiwa kapeleka chakula wanakula no communications usiku akifunga kibanda akirudi kwake as were! Na si kwamba eti hakujua alijua mapemaaaaa kabisa kuwa the man is married mapema sana.

Anadanganyika tu nitakuoa nitakuoa huku yeye anauhakika wa kutolea nyege zake nakuzalisha ffala huyu kakaa tu eti anamtunzia! Opportunities kibao wakristu wenye kazi nzuri anawakataa kakazania huyo aliekomaa kiuno tu mmmxxxxxxxxxxiiiiiiiiooouuuu! kila siku anapigwa kalenda bwegemtozeni huyu.

What a disappointment jaman hata ndugu wamesusa!
Maoni na ushauri kwakweli mimi binafsi hapanaaaaaaaaa!
 
presider

presider

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Messages
507
Likes
438
Points
80
presider

presider

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2013
507 438 80
Hello guys!
Nashindwa kumwelewa huyu nduguyetu Si mimi tu hata familia haimuelewi na haitaki kumuelewa hata chembe! She is a graduate na ana kazi yake nzuri tu serikalini kwa mshahara wa degree! Kutokea kupendana kuliko haya maelezo na mume wa mtu mwenye familia kubwa tu ( mke na watoto watano).

Huyo baba yupo ndoani na his five baby's mama huu mwaka wa 9 na kwa kuangalia nikwamba wanapendana na kuendelea kupendana vizuri tu na mkewe huyo mwenye watoto 5 na hii juzi katoto ka 5 ndokamezaliwa!
Huyu mjinga kakaa tu eti anasubiri kuolewa na huyo baba mwenye mji wake namiaka kenda yandoa yenye watoto 5 na anazidi kuzalisha tu kwani ndokwanza mwanaume ana thirty one mkewe ana twenty four!

Huyo baba hana mijihelaa wala na hajasoma kaishia lasaba tuseme na wenyewe tu maisha yao yakujikokota ndohivohivo wameridhika nayo tu ilimradi wanavaa wanakula wana pa kulala lakini bidada hasikii haoni kwa mume wa mtu!

Mbaya zaidi the lady is a Christian and the man is an Islamic tena hawa itikadi kaliiii idiot huyu yupo tayari kubadili dini akahesabiane siku na mwanamke mwenzie aliemkomaza mumewe na cha kusikitisha zaidi huyo mkewe ni mama wa nyumbani tu wakuachiwa hela ya kuhemea kupika na kupakua na kumpelekea mumewe chakula kibandani nakurudi nyumbani.

Sasa huyu bidada mfanyakazi huyu ataachiwa hela ya matumizi kama mwenzie kweli ilhali anafanya kazi huyu au ndo kwenda kuhonga hela mwanaume ahudumie familia kubwa? Si kujitaftia mzigo tu watu wana miaka kibao watoto ju nahawana matatizo yoyote yanini kujiingiza sehemu kama hio ndugu ???

Sometimes she miss the man and the man is busy with his family ye kuishia kuvusha tu. Hata kuwasiliana shida asubuhi akiwa kwake no communications, mchana mkewe akiwa kapeleka chakula wanakula no communications usiku akifunga kibanda akirudi kwake as were! Na si kwamba eti hakujua alijua mapemaaaaa kabisa kuwa the man is married mapema sana.

Anadanganyika tu nitakuoa nitakuoa huku yeye anauhakika pa kufanya nakuzalisha ffala huyu kaka tu eti anamtunzia! Opportunities kibao wakristu wenye kazi nzuri anawakataa kakazania huyo aliekomaa kiuno tu mmmxxxxxxxxxxiiiiiiiiooouuuu! kila siku anapigwa kalenda bwegemtozeni huyu.

What a disappointment jaman hata ndugu wamesusa!
Maoni na ushauri kwakweli mimi binafsi hapanaaaaaaaaa!
Mapenz n Shida sana. Lakn mpeleken Hosptal Ndugu yenu
 
R Mbuna

R Mbuna

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Messages
1,717
Likes
3,040
Points
280
R Mbuna

R Mbuna

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2015
1,717 3,040 280
Kipendacho roho hula nyama mbichi Mkuu.Mimi hapa nina mke na mtoto mmoja pia ni muislamu ila sio wa itikadi kali .Kuna dada ametokea kunikubali mpaka amenitegea ujauzito though sijawahi hata kumgharamia chochote katika ujauzito wake hata huyo binti pia ni mkristo.Na tangu mwezi wa Ramadhani umeanza sijawahi kuonana naye na hajawahi kujutia na huwa anawaza kuwa ipo siku nitakuja kumuoa ingawa sijawahi kuwa na hiyo ndoto kichwani kwangu mpaka huwa namuonea huruma kwa kunipenda mimi mume wa mtu.Muache mwenzio naye akipata mrejesho hasi kutoka kwa huyo mume wa mtu huenda akapata somo na asirudie tena hiyo kitu ila usithubutu kumpa ushauri hasi hata yeye atakuchukia.
 
JOH CARLOS

JOH CARLOS

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2016
Messages
348
Likes
143
Points
60
JOH CARLOS

JOH CARLOS

JF-Expert Member
Joined May 13, 2016
348 143 60
mapenz upofu ndo ashapenda tayar sasa uyafanyaje
 
mahondaw

mahondaw

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Messages
17,129
Likes
26,198
Points
280
mahondaw

mahondaw

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2013
17,129 26,198 280
Mke miaka 24 ana watoto watano..
Ndio aliolewa na miaka 15 wakati mume 22 sasa kwa kuolewa miaka na 15 unategemea nini na mwanaume mwenyewe bado nguvu anazo???
 
mahondaw

mahondaw

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Messages
17,129
Likes
26,198
Points
280
mahondaw

mahondaw

JF-Expert Member
Joined Apr 9, 2013
17,129 26,198 280
Kuingia sehemu yenye majukumu tayari ilhali wasio na majukumu anawatolea nje! Halafu dogo atakua na kipato kuliko hata huyo mwanaume mwenye mke kula kulala kujaza choo na kuzaa tu
 
Luv

Luv

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Messages
1,373
Likes
998
Points
280
Luv

Luv

JF-Expert Member
Joined Aug 29, 2013
1,373 998 280
Kwa hiyo hapo tatizo liko wapi?

unadhani walioanzisha usemi wa mapenzi ni upofu walianzisha kwa sababu gani?

sometimes kama mmeshamshauri mtu hajawaelewa ni bora mumuache akajionee mwenyewe. Wenyewe wanasema mtoto akililia wembe.......

Finally una hasira sana na nduguyo kwa jinsi ulivyoandika hapa. Sasa ni bora ufanye yako huyu atakupa pressure zisizo za msingi bureeeee
 
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2012
Messages
18,533
Likes
24,891
Points
280
Ushimen

Ushimen

JF-Expert Member
Joined Oct 24, 2012
18,533 24,891 280
Mkuu, naona umeandika kwa uchungu sana aiseee.....
Sisi wakubwa tuna semaga mambo hizo hua hazimalizwi kwa nguvu na maneno ya wanadam, zaidi ni muda ndio utakao zungumza na huyo ndugu yenu
 
Forum statistics

Threads 1,238,822
Members 476,196
Posts 29,332,404