proxy
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 1,477
- 1,346
Mjomba yangu ni mkali sana na huchunga sana watoto wake wa kike, hivyo binamu yangu huyo ni mtoto wa geti kali ile mbaya hakuna kwenda popote zaidi ya kwenye bustani tu iliyopo nje hapo nyumbani.
Mjomba yangu huniamini sana hata wakati mwingine husafiri na mke wake na kuniacha nyumbani hapo tukiwa wawili tu yaani na binamu yangu tu.
Siku moja mjomba alipata safari ya kwenda nairobi na kuniacha mimi binamu na dada wa kazi. Hivyo siku hiyo binti aliamua kunitega kwa kuvaa nguo ambayo sijawahi kuona hata siku moja akivaa, huku akiwa na nguo hizo za mitego, alikuwa akizungukuka zunguka hapo ndani.
Kwakweli ni msichana mwenye mvuto yani kama una moyo mwepesi unaweza kuomba tunda. Ilifika wakati mpaka akaanza kuja chumbani kwangu akiwa amevaa nusu uchi, nakutaka nimfanyie massage akidai mgongo unamuuma, sikuweza kufanya hivyo mpaka akaniuliza kwanini unanifanyia hivyo, na mimi nikamuuliza kwani hujui mi ni nani yako akajibu kwa unyonge sina jinsi naumia nisaidie hatojua mtu.
Daah basi nilimuelewa nikamfanyia massage na nikamuacha aende kwakweli ulikuwa ni wakati mgumu sana kwangu mpaka pale mjomba alivyorudi na nikaaga nikaondoka zangu. Ila nashukuru sikutegeka. HATEGWI MTU HAPA