Kwa wadada
Najitokeza hapa kutafuta rafiki wa kike/mchumba kwani naamini anapatikana popote pale.Sichagui kabila,dini wala elimu ila awe na umri wa miaka 28 na kuendelea na asizidi 36
Mimi nina...
Hakika nahitaji wokovu wa bwana tatizo langu ni kwamba ninatamaa sana ya watoto wa kike na hili halijifichi kusema ninapepo la uasherati sasa mnanisaidiaje ili niweze kuijua injili?
Pia hapo...
Habari zenu wadau?
Nimekuwa nikifuatilia sana mada za hili jukwaa ila kuna kitu nimegundua kuwa mtu kama ana leta mada fulani utasikia kuna rafiki yangu kafanya hivi na vile kwa kigezo cha kutaka...
Je wadau unafikiri huyo uliye naye NI mpango wa MUNGU au NI mpango wako
Je ukipita njiani sokoni na maeneo kama hayo huwa unaona wanawake wazuri kuliko mkeo na huwa unafikiri nini je...
hii wana JF
Mie ndo mara ya kwanza kupost hapa ila si mgeni wa kusoma post humu jamii forum. nafahamu huku kwenyesocial media waliomo humu, ndio waliokomitaani hivyo nimeona nijitokeze katika...
Habari zenu,
Hakuna jambo linalonikera kama kuona binti mdogo wa shule akiwa kavaa kimini na wazazi wakiwa pembeni wakimpongeza.Mtoto unapomsifia kuwa kapendeza kwa kuvaa nguo hizi unamwaminisha...
Habarini wakuu,
Katika kuhudhuria kwangu katika nyumba nyingi za ibada au kusikiliza mafundisho ya dini mbalimbali hata redioni, sijawahi kumsikia Sheikh au Padre au Mchungaji akikemea hadharani...
Kuna binti flani kwa sasa tupo katika hatua ya mchumba, ni mpole na anatabia njema,
Kitu ambacho kinanitia mashaka juu yake ni tabia yake ya kupenda kugegedwa kila tukikutana tu yeye anataka...
Iko hivi kwa miaka miwili nimeishi kwenye nyumba ya kupanga. Katika nyumba hiyo chumba cha master kilikua na dirisha moja na ndirisha hilo lilikua direction isiyokuwa na upepo, dirisha lilikua...
MMU habari zenu,
Kwa wale ambao wako katika ndoa watanielewa haraka, na sitaki kumkwaza mtu kwa sababu za dini au imani yake.Ukiwa katika ndoa ya mke wa kwanza, kuna changamoto nyingi na kama...
kila demu ninaekutana nae huwaga analia sana wakati wa tendo,sasa hapa ninapoishi ni uswazi ,na kilio na makele yao inanipa wakati mgumu sana ,nikiwauliza kwa nini wanaliaga kwa makelele husema we...
Jamani ni lazima mama wa mume kulelewa na mke wa mwanae hata kama huyo mama ana watoto wake wa kike wakubwa wengine wana kazi zao na wanajitegemea wenyewe? Mi bmiinafsi naona si sawa kama mama...
Mimi ni msichana nina mpemzi ambae nimedumu nae mda mrefu ila tunakaa kila mtu kivyake. Sasa mimi kwa kweli napenda niwe na mtoto sana.Nikamuomba mwenzangu tuzae mtoto cha kushangaza analeta...
Habari,
Kama kijana ni umri gani nikifika inakuwa no kuwa na mademu wengi?Maana sasa kila siku zinavyozidi kwenda naona idadi ya ile hit and run inaongezeka nataka kuwa na my beb mmoja tu...
Late at night when everyone is sleeping i'm still awake
thinking of you...
.
.And Sometimes Someone Mean So Much To You, Not
Even d Truth Can Change Your Mind :| !!
.
There are 3 sets of words...
Habari,
Naitwa Frank ni kijana wa kitanzania,umri wangu ni miaka 30-35.
Nina kipato cha kawaida, naishi na kufanya shughuli zangu hapa Dar es Salaam.
Nahitaji binti mrembo wa Kitanzania mwenye...
Mtoto wa kike azaliwapo tu anatakiwa kuandaliwa kuwa mama bora na mwanamke shupavu mwenye kujitambua,na kujua kuutunza usichana wake na haiba yake ya kike bila kusahau kuwa na shabaha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.