chanawaleti
Senior Member
- Jul 4, 2016
- 176
- 209
ukitaka kujua umekua oa ishi ndani ya ndoa usione wanaume wengi wanashinda bar baada ya kutoka kazini sametime ni kuvuta Muda ili ukifika nyumbani ukute washalala pia kutuliza akili maana unaweza kufika nyumbani inakua kero wanawake huwa ni kero sana huwa wananyenyekea kipindi cha uchumba ila ukishamweka ndani bas anaizoea ndoa anaanza kuwa rafu ata kwenye penz hakupi kama zamani yaani ndiyo hapo mwanaume huaanza kufikiria kuchepuka mwishowe analeta magonjwa ndani kwa nini kina dada mnabadilika mkishaingia ndoani?