The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,902
- 19,093
Nimefanya utafiti usio rasmi nimegundua watu wenye taaluma ya uhandisi na ualimu huingia katika ndoa mapema sana kuliko wenzao wa sheria na mambo ya fedha.
Wahandisi na walimu huanza kuoa au kuishi na waume au wapenzi wao kuanzia chuoni.
Kwa nini wahandisi na walimu mnapenda ndoa hivi na kwa nini wanasheria na wahasibu hampendi kuingia katika ndoa mapema. Tafadhali sijamaanisha wahandisi wote au wahasibu wote.