Mshkaji wangu ananiambia kuna binti ambaye yupo 29 yrs hivi,
Yeye anachokitaka kutoka kwake ni kumzalisha tu, jamaa hamuelewi dogo malengo yake baada ya kupata huo ujauzito maana ndicho...
Weekend iliyopita nilitoka na jamaa yangu aliyenitembelea, tukaenda sehemu moja iko busy sana jina nalihifadhi. Kuna live band, club, vyakula na vinywaji almost kila variety.
Kina dada...
KUMBUKA:Kama hujisikii kunishauri na upo hapa kukosoa naomba usisome hii post
Wana JF nina stress. Kwanza mzazi wangu hana uwezo na mimi nataka kusoma so nikiangalia wenzangu ambao tulisoma wote...
Habari za saa hizi JF,
Mimi ni kijana wa miaka 23, katika maisha yangu huwa navutiwa sana na wadada wakubwa walionizid umri sana.
Kitendo hichi kimenifanya niwe na mtoto wa miezi minne na binti...
Jamani mimi mawifi zangu (dada wa mtarajiwa wangu) wananitatiza. Mchumba wangu ni mtoto wa kiume pekee kwa wazazi wake na amebarikiwa madada sita. To be honest nawapenda mawifi zangu na...
tunaweza kuchukulia ni usasa usanii kipaji uvumbuzi na hata haki za binadamu lakini kitu anachofanya huyu mmarekani kina kasoro kubwa kiimani na kiimadili, sijui akija Africa itakuwaje...
Jamani habari za asubuhi wapendwa,
Kiukweli mimi mgeni ila naomba niende kwenye mada.
Mume wangu ni dereva na mara nyingi huwa anakuwa mbali na nyumbani yani kikazi. Tatizo ni kwamba akirudi...
Kwa wadada
Najitokeza hapa kutafuta rafiki wa kike/mchumba kwani naamini anapatikana popote pale.Sichagui kabila,dini wala elimu ila awe na umri wa miaka 28 na kuendelea na asizidi 36
Mimi nina...
Hakika nahitaji wokovu wa bwana tatizo langu ni kwamba ninatamaa sana ya watoto wa kike na hili halijifichi kusema ninapepo la uasherati sasa mnanisaidiaje ili niweze kuijua injili?
Pia hapo...
Habari zenu wadau?
Nimekuwa nikifuatilia sana mada za hili jukwaa ila kuna kitu nimegundua kuwa mtu kama ana leta mada fulani utasikia kuna rafiki yangu kafanya hivi na vile kwa kigezo cha kutaka...
Je wadau unafikiri huyo uliye naye NI mpango wa MUNGU au NI mpango wako
Je ukipita njiani sokoni na maeneo kama hayo huwa unaona wanawake wazuri kuliko mkeo na huwa unafikiri nini je...
hii wana JF
Mie ndo mara ya kwanza kupost hapa ila si mgeni wa kusoma post humu jamii forum. nafahamu huku kwenyesocial media waliomo humu, ndio waliokomitaani hivyo nimeona nijitokeze katika...
Habari zenu,
Hakuna jambo linalonikera kama kuona binti mdogo wa shule akiwa kavaa kimini na wazazi wakiwa pembeni wakimpongeza.Mtoto unapomsifia kuwa kapendeza kwa kuvaa nguo hizi unamwaminisha...
Habarini wakuu,
Katika kuhudhuria kwangu katika nyumba nyingi za ibada au kusikiliza mafundisho ya dini mbalimbali hata redioni, sijawahi kumsikia Sheikh au Padre au Mchungaji akikemea hadharani...
Kuna binti flani kwa sasa tupo katika hatua ya mchumba, ni mpole na anatabia njema,
Kitu ambacho kinanitia mashaka juu yake ni tabia yake ya kupenda kugegedwa kila tukikutana tu yeye anataka...
Iko hivi kwa miaka miwili nimeishi kwenye nyumba ya kupanga. Katika nyumba hiyo chumba cha master kilikua na dirisha moja na ndirisha hilo lilikua direction isiyokuwa na upepo, dirisha lilikua...
MMU habari zenu,
Kwa wale ambao wako katika ndoa watanielewa haraka, na sitaki kumkwaza mtu kwa sababu za dini au imani yake.Ukiwa katika ndoa ya mke wa kwanza, kuna changamoto nyingi na kama...
kila demu ninaekutana nae huwaga analia sana wakati wa tendo,sasa hapa ninapoishi ni uswazi ,na kilio na makele yao inanipa wakati mgumu sana ,nikiwauliza kwa nini wanaliaga kwa makelele husema we...