Nimepima VVU nikakutwa positive ila nimekua wa kujiamini sana

chanawaleti

Senior Member
Jul 4, 2016
176
209
Nakumbuka last year ilikua usiku nilikua nimekunywa dragon +konyagi ilifika usiku nilisikia mapigo ya moyo yapo kasi sana wife aliniwahisha dispenser presha ilikua 180/90 docta alinitisha sana, maana the way alivyokua akashituka aliniongezea stress sana kwa taarifa zake iliniafect sana maana nilijiona mtoto mdogo presha ni hatari nilivuta na hisia kwa mama alipata stroke kwa ajili ya high pressure miezi yote minne nikipata shida usiku silali kila siku nikipima ipo juu kumbe nilikua naipandisha mwenyewe kwa woga.

Siku niliamua kwenda Muhimbili kitengo cha JK cha moyo nilifika niliona watoto wadogo wana moyo mkubwa watu wanavyoumwa nilipata matumaini sana nilifanya vipimo vyote vya moyo nilipotoka hapo nikaanza kula woga ukaisha kabisa yani nikawa najiamini kuwa presha haiwezi niua mbona hadi watoto wanaumwa nilijingea kujiamini sana.

Sasa juzi juzI niliamua kupima VVU nikakuta positive yaani nilivyopokea yale majibu sikua na woga hadi yule dokta alishangaa nilijifunza nisiingize woga au taarifa mbaya maana utanipa stress nilimweleza wife alinishangaa jinsi navyojiamini ila wife amekua mwoga kupima nilimplz sana kumwomba sorry kama nimempa mimi alikuwa mkali but anajiuliza kwanini najiamini? "wakati nipo? nilimjibu kupata UKIMWI siyo mwisho wa kutimiza malengo yako, alinishangaa sana.

Nilifunza sana kipindi kile nilipitia mapito nilivyopata BP kwa sasa ninauwezo wa kushinda taarifa yoyote maana wengi wanaopima UKIMWI wakakutwa wanao hupanic na mwishowe huwaza kujiua na kupata stress.
 
Wewe ni muoga na bado una hofu sana ndio maana umeleta huu UZI hapa.

Bila neno la Mungu Huwezi kupata Amani, utaendelea kuwa muoga kila siku.

#NB; Huna Ujasiri wowote!!!
sina uwoga wowote mkuu najiamin
 
Kama ni kweli hongera sana na Mungu akupe ujasiri huo huo ila kama unamuiga MENTOR kuleta uzi kama huu basi juwa Mungu hadhihakiwi na hasa kwenye maswala ya maradhi.
ni ukweli usiopingika mkuu nipo positive na wala sioni sababu ya kuiga na wala siogopi na bdo sijaamua kutumia arvs
 
Umefanya uwamuzi wa busara na umeubeba kijasiri. maana daaa! unaweza amua kuwa siangalii, sinusi, sigusi wala sionji ila ndo hivyo tena mambo ya nature balaa.
 
Back
Top Bottom