JOH CARLOS
JF-Expert Member
- May 13, 2016
- 579
- 269
Habari za saa hizi JF,
Mimi ni kijana wa miaka 23, katika maisha yangu huwa navutiwa sana na wadada wakubwa walionizid umri sana.
Kitendo hichi kimenifanya niwe na mtoto wa miezi minne na binti ambaye kamzidi hadi dada yangu wa kwanza umri, hata nyumban napata wasiwasi wa kumpeleka.
Naombeni mawazo yenu juu ya hili.