Habari zenu,
Hakuna jambo linalonikera kama kuona binti mdogo wa shule akiwa kavaa kimini na wazazi wakiwa pembeni wakimpongeza.Mtoto unapomsifia kuwa kapendeza kwa kuvaa nguo hizi unamwaminisha kwamba ndiyo nguo halali na inayompendeza kuriko nguo zingine zote.
Tena wengine mnawatia viburi kiasi kwamba wanapokuja kukosolewa na walimu wao au majirani, kinachotokea huwa wanawapuuza na kuwadharau. Ikumbukwe kwamba mavazi hayo ya vimini ndiyo vichocheo vya wao kutakwa na hatimaye kutiwa mimba.
Naombeni Maafisa utamaduni kutoka kila wilaya pitisheni msako mkali ambapo mtoto ambaye atakutwa na vimini wazazi wake wakamatwe kwa kosa la kuharibu maadili ya mtoto.