Hakika nahitaji wokovu wa bwana tatizo langu ni kwamba ninatamaa sana ya watoto wa kike na hili halijifichi kusema ninapepo la uasherati sasa mnanisaidiaje ili niweze kuijua injili?
Pia hapo zamani niliwahi kuokoka nikaijua injili vilivyo mdogomdogo nikabaki na taamaa za awali. Umri unaenda YESU namtaka lakini nashndwa kukaa muda mrefu katika neno.
Zaidi nimezaa na mtoto wa kiislamu sijui nifanyeje?