Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 299,352
- 751,962
Anachofanya ni rahisi sana anazunguka nchi mbalimbali duniani na kwa ruhusa pengine ya Serikali husika na kwa ushawishi wa ajabu kabisa anakusanya maelfu kwa maelfu ya wananchi na kuwaamuru kuvua nguo zote na kupiga picha za halaiki katika maumbo mbalimbali na sehemu tofauti
Najua kuna watakaotetea kuwa mbona enzi za ujima tulikuwa hatuvai nguo! Lakini ni enzi hizo na hiyo ni historia tujiangalie tulipo sasa
Dunia imechoka sana...!!!







