Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mwanamke mmoja amemfumania mumewe akifanya mapenzi kitandani na msichana mwenye umri wa miaka 17 nyumbani kwake. Mwanamke huyo alimpiga msichana huyo na kumchania nguo zake kisha akamtembeza uchi...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Nyie wanawake nani kawaroga? Siku ya mechi ya nusu fainali Euro France vs Germany nilikuwa nimekaa baa moja maridadi pembeni ya jiji nikibarizi na glasi yangu ya wine huku macho yangu yakiwa...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Mfano: Kwenye sherehe! Mwanamke ananyanyuka na kusema, Mtu yeyote anayetaka kuwa mpenzi wangu anyooshe mkono. Wanaume 5 wakanyoosha mkono! Mwanaune aliposema kuwa kama kuna mwanamke yeyote...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habri za Jumapili wanaMMU.. Ni muda mrefu sijashiriki hapa kuwaletea mavisa niliyokumbana nayo nimekua msomaji tu.. Labda kwa sababu ya hii "Hapa kazi tu" ya awamu ya bro.. Wiki iliyopita bana...
11 Reactions
106 Replies
10K Views
Nimempigia simu ex-gal tulieacha kama miaka miwili iliyopita ili nimsalimie. Nimepiga mchana kweupe, ila hakupokea, badala yake akaniandikia sms ifuatayo; "Samahani sitaki mawasiliano na wewe...
1 Reactions
59 Replies
8K Views
Habari za jumapili wana MMU, natumai wazima, ambao hamko sawa jaribuni kujiweka karibu zaidi na Mungu na kutafutta suluhisho la matatizo yenu Leo nimeona nije kivingine sio kila siku watu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mwanaume kulia lia/kuongelea/kulalamika juu ya mapenzi ni dalili za uchoko. Mwanaume kulalamika kuhonga ni ujinga, unataka uhongwe wewe! Uanaume ni majukumu ikiwa ni pamoja na kuhonga. Mwanaume...
33 Reactions
106 Replies
13K Views
Jamani najitokeza kutafuta rafiki wa kike wa kuweza kunisaidia kimaisha katika kutafuta pesa maana kwa sasa sina kazi nipo nipo tu.sichagui lika wala dini kikubwa tu ni mapenzi ya kweli.mi nipo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ni kweli mke mwema hutoka kwa Mungu na uzuri wa mwanamke ni tabia na sio sura wala shape ila wakati mwingine unaweza ukapindisha maneno na vifungu ili kuweza utendea haki moyo wako. Dear...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari za muda huu wadau, Nilikuwa nataka kushare na nyie jambo flani lilinikuta this week ili tujadili kidogo. Kuna mschana flani nilikuwa nampenda long time lakini sijawahi kumwambia ila...
10 Reactions
148 Replies
19K Views
MAPENZI ni sanaa marafiki zangu, ili uweze kuwa msanii kamili katika tasnia hiyo ni vyema kutafuta kuwa bora zaidi kila siku. Uwe mshindi siku zote, mwenye kumridhisha mpenzi daima, mwenye...
6 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari... Naitwa Richard, Humphrey nina miaka 26, naishi Tabata natafuta mwanamke atakaekuja kuwa mama watoto kama Mungu atapenda awe na sifa zifuatazo: 1. Mcha Mungu japo hata kidogo. 2...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Katika maisha mwanaume inakupasa kufahamu mambo ya msingi yatakayo fanya maisha yako yawe ya furaha, mambo hayo ni pamoja na: 1. Oa mwanamke ambae unaweza KUSALI nae na sio kwa sababu anajua...
8 Reactions
36 Replies
4K Views
Mimi nakataa kwamba hapa duniani kuna uchawi na nimeshatoa changamoto nyingi tu, hapa JF na hata nje ya JF kuwa kama kweli uchawi upo basi yeyote yule mwenye uwezo wa kuniroga ili tu...
0 Reactions
79 Replies
7K Views
I am Eric 25yrs naishi dar. Natafuta girlfriend ambaye atakuwa serious kuanzisha mahusiano awe - mkarimu - mrembo - asiwe na tamaa ya pesa - awe tayari Kuzaa - elimu angalau form 4 - mwenye...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Igweeeee!! Dude hilo LOADING SAA 4 KAMILI USIKUUU HUUUU. Mtoto hatumwi dukaniiii. Pikeni mapemaaaaaaaa. Wake za watu la kwenu hiliiiii, special for you. Najinyoosha kwanza hapa, kuna mtu...
25 Reactions
710 Replies
149K Views
hi all!! mimi ni mtu wa makamo, professional nakimbilia 40 yrs old...nimeoa, baba wa mabinti watatu..mke wangu naye ni 2 yrs younger ...professional...but somehow possesive tulikutana chuo...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Mara ya mwisho alikuwa akifundisha Green Acre
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ni ukweli usiopingika wasichana wengi mtaolewa na bodaboda, wafanyabiashara, wanasiasa nk. Maana mkitegemea vijana wa chuo umri unaenda maana mpaka amalize chuo apate ajira ajipange na hizi ajira...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari ya W/end wanaJF naomba kuuliza mwanaume anaweza kubadilisha ubini (Surname) yake na kutumia ya mkewe?
1 Reactions
107 Replies
8K Views
Back
Top Bottom