Kule Kwetu
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 3,157
- 1,893
Habarini wakuu,
Katika kuhudhuria kwangu katika nyumba nyingi za ibada au kusikiliza mafundisho ya dini mbalimbali hata redioni, sijawahi kumsikia Sheikh au Padre au Mchungaji akikemea hadharani suala la watu kujichua.
Mbona wanakemea uzinzi na ndoa za jinsia moja? Hivi sababu ni ipi?
1) Wanaona aibu?
2) Au punyeto si dhambi? Au hawana uhakika kuwa ni dhambi au si dhambi.
3) Au ni hofu ya kupoteza/kupunguza idadi ya waumini?
Kule kwetu hata musturbation hawajui ni nini.
Nawasilisha.