aida sanga
Member
- Jun 3, 2016
- 63
- 21
Jamani habari za asubuhi wapendwa,
Kiukweli mimi mgeni ila naomba niende kwenye mada.
Mume wangu ni dereva na mara nyingi huwa anakuwa mbali na nyumbani yani kikazi. Tatizo ni kwamba akirudi anakuwa tofauti na alivyoenda na hukaa kazini hadi mwezi lakini akirejea huwa hana hamu na mimi yaani bize kwa sana, na nikiangalia simu yake nakutana na sms za wanawake tofauti.
Mfano juzi aliporudi nimekuta mwanamke ameandika hivi ''wajua unanipa mtihani na mimi siwezi ishi bila wewe'' yaani kiukweli nimeumia na nimewaza kuachana nae, na nimezaa nae mtoto 1.
Je, nifanyaje? Naombeni mnisaidie.