Kwa wanandoa: Je ukipata nafasi ya kumwacha uliyenaye kwa ruhusa maalum utafanya hivyo?

UWOGA=UMASKINI

JF-Expert Member
Dec 30, 2013
2,397
1,011
Je wadau unafikiri huyo uliye naye NI mpango wa MUNGU au NI mpango wako

Je ukipita njiani sokoni na maeneo kama hayo huwa unaona wanawake wazuri kuliko mkeo na huwa unafikiri nini je unatamani kumpata au unatamani ungekuwa hujaoa umwoe au huwa unawza nini unapokutana na hao wanaonekana WAZURI na WALIOUMBIKA zaidi ya mkeo ?

**************
Je ukipata nafasi ya kumwacha huyo mumeo au mkeo kwa ruhusa maalumu utafanya hivyo au utaamua kufanya nini

*********
Haya yanakuja coz kuna wanaume wanapiga kazi zileeeeeee balaa kuliko wewebna kuna wanawake wameumbika balaaa kuliko .
 
Kwangu mimi nashukuru ni mpango wa Mungu maana sitaki hata kumtazama mwingine na wala sina hamu ya chochote.Namshukuru sana Mungu mwema.
 
Kuoa na kuolewa ni uamuzi, ukishafanya maamuzi kuwa ninamua huyu hata changamoto utakazopitia unarejea maamuzi yako na mambo yanakwenda. Ukioa kwajili ya pesa, zikiiisha utapata shida sana.

Ajabu ni kuwa kila mume wa mtu unaekutana nae anakwambia ningekuona kabla sijaoa........ni uongo. Ukishafikisha umri wa kuoa na kuamua huyu ndiye anaenifaa mengine muachie Mungu.
 
Mkuu umenena ukweli mtupu maana Jana tu kuna demu alipita maeneo Fulani hivi nikiwa nimetulia nafanya yangu sio siri aliniharibia mood yangu aisee maana ana bonge la mswambwanda hatari alivokuwa anatembea sasa ni zaidi ya tetetemeko la ardhi lililotingisha juzi mkoani Dodoma.

Kiukweli wanawake/ wasichana kwenye misambwanda mikubwa wananiua na nawapenda sana ingawa kuna msemo unasema "it's not possible to get what you want"
 
Mleta hoja naamini alitaka watu wawe wakweli sio kujifanya mtakatifu wakati ndani ukweli unaujua mwenyewe. Hapa najua wanawake wako more strong kuliko wanaume. Ila pia wanaume si wa kutegemea sana maana hawatadumu kwenye penzi jipya. MIMI KUNA NYAKATI NADHANI NILIYEMUONA MBELE YANGU ANGEKUWA BORA KULIKO NILIYE NAE SEMA TU KAMA ALIVYOSEMA MCHANGIAJI MMOJA KUWA HATUOI AU KUOLEWA TU KWA AJILI YA SEX. HIVYO HUWA NIKITAFAKARI JUU YA UZURI MWINGI ALIONAO MKE WANGI NA JINSI HATA SASA ANASHINDA WANAWAKE WENGI NABAKIA KUUTAZAMA HUO KULIKO RANGI AU UMBILE JIPYA NILILOLIONA KWA MWANAMKE MWINGINE. HATA HIVYO WENGI NILOWAONA WAKATI FULANI NILIPOKUJA KUWAONA TENA HAWAKUWA NA UBORA WA NILIENAE. SO GOD IS GREAT KUNIPA MKE NINAYEPENDEZWA NAE 90%
 
Kweli braza wanaume wengi wanasumbuliwa na hilo
 
Kweli NASHANGAA WATU WANAENDELEA KUWA WANAFKI NILICHOKUWA NATAKA TUAMBIANE UKWELI

******
UMESEMA KWELI KABISA KWAMBA WANAUME HAWADUMU SANA SI WOTE ILA BAADHI KWENYE PENZI JIPYA NA SOMETIME tunaona wazuri kuliko wake zetu na tunawatamani kweli na wanawake wanaona mwanaume anayewajibika anamtamani kweli angekuwa wake

*******
Ndo tunakuja pale je tumeoa kwa ajili ya ngono tu au kuna mengine na hilo ndo linatupa defence mechanism
 
Kuo na kuolewa ni uamuzi, ukishafanya maamuzi kuwa ninamua huyu hata changamoto utakazopitia unarejea maamuzi yako na mambo yanakwenda. Ukioa kwajili ya pesa, zikiiisha utapata shida sana.
wanawake wenzako waisome hii kwa makini sana....
 
Mkuu umenena ukweli mtupu maana Jana tu kuna demu alipita maeneo Fulani hivi nikiwa nimetulia nafanya yangu sio siri aliniharibia mood yangu aisee maana ana bonge la mswambwanda hatari alivokuwa anatembea sasa ni zaidi ya tetetemeko la ardhi lililotingisha juzi mkoani Dodoma.

Kiukweli wanawake/ wasichana kwenye misambwanda mikubwa wananiua na nawapenda sana ingawa kuna msemo unasema "it's not possible to get what you want"
si kila king'aacho ni dhahabu...
25788.jpg
71TLv%2BZzGtL._UX385_.jpg
 
si kila king'aacho ni dhahabu...
25788.jpg
71TLv%2BZzGtL._UX385_.jpg
Kwa wale ambao hamjaoa: sura na maumbo mazuri hupita na kunyauka kama maua. Mtizame bibi au babu ya wote hao walikuwa bomba sana. Ukiwa mtumwa wa sex badilisha tu mmeo au mkeo, uzeeni utajuta. Kama una watoto watunzeni vizuri, achana na fikra potofu za single parenting hata kama una pesa. Mke ni dhahabu ni mfariji wangu wa mwisho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom