Natafuta rafiki wa kike/mchumba

GoodGla

Member
Jun 3, 2016
12
19
Kwa wadada

Najitokeza hapa kutafuta rafiki wa kike/mchumba kwani naamini anapatikana popote pale.Sichagui kabila,dini wala elimu ila awe na umri wa miaka 28 na kuendelea na asizidi 36

Mimi nina umri wa miaka 32, ni Mfanyakazi na Mfanyabiashara, napatikana Dsm,.Mambo mengine tutafahamishana.

Kama upo interested ni pm.
 
weka namba ya simu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom