hii wana JF
Mie ndo mara ya kwanza kupost hapa ila si mgeni wa kusoma post humu jamii forum. nafahamu huku kwenyesocial media waliomo humu, ndio waliokomitaani hivyo nimeona nijitokeze katika kutafuta mwenza wa maisha. Maombi yangukwa Mwenyezi Mungu ni kunipatia Mwenza bora atayenifaa.Hivyo tafadhariwanajamii forum atake ona anavigezo nayuko tayari na aliye serious tafadhari anipm. Mengine mengi tutajulishana tukifanikiwa kuelewana na mwenzamtarajiwa.
Sifa zangu
Mie ni mwanamke wa umri wa miaka kati ya 30-34, mrefu5: 10 mnene wa wastani mweusi
Nina mtoto mmoja
Elimu yangu niko chuonimwaka wa pili masomo ya jioni nilimaliza A level zamani ila nikaendelea na pilika za maisha mpakamwaka jana ndo nikaingia chuo kwa kujiendeleza zaidi.
Napenda kupika,kusoma vitabu kusikiliza music na kuhave fun na family na marafiki muda wa mapumziko
Sifa za mwanaume
Naomba awe na umri kuanzia miaka 36-48.
Awe na uelewa wa kutosha kwa maana ya maisha, mwenye kupenda kujiendeleza kamamfano ana elimu ya chini
Awe hana mtoto au akiwa nae mmoja au watoto mwisho wawili sitatizo
Kabila lolote rangi yoyote
Awe mrefu kiasi hata nikimzid kidogo si mbaya au akinizidi,, Hapa tafadhari msinielewe vibaya wala sio nabagua
ila jamani nitaonekana dada yake... haahaa im kidding..
Awe mchangamfu ,,ndani ya nyumba smile ziwepo.
NB : najua katika jamii kuna watu wa mtazamo tofauti..sitakuwa offended na comments za watu nitachukulia ni challenges tu .. maanahuwezi kupokea mtazamo positive tu hata mitazamo negative na ndio inanifanyaniprove watu kuwa walivyokuwa wanachukulia au kufikiria ni tofauti na nimefikakutoka point A to point B.
mawasiliano kwa PM au nitumie email zinty300@yahoo.co.uk
Karibuni waungwana.
NB : najua katika jamii kuna watu wa mtazamo tofauti..sitakuwa offended na comments za watu nitachukulia ni challenges tu. karibuni