Embu kuweni wakweli

jitupori

Senior Member
Feb 22, 2015
199
76
Habari zenu wadau?

Nimekuwa nikifuatilia sana mada za hili jukwaa ila kuna kitu nimegundua kuwa mtu kama ana leta mada fulani utasikia kuna rafiki yangu kafanya hivi na vile kwa kigezo cha kutaka ushauri wakati inaonekana kuwa hilo swala linamuuhusu yeye mwenyewe embu kuweni wawazi bhana msisingizie marafiki mna bore sana.
 
Tumetofautiana!!!! kujianika anika kwa watu mambo ya mwenza si vizur,,,, ndo maana mtu anatumia mkasa wake kumvika jamaa / rafik awe mhusika.
 
Sio mbaya maana hapa tumekuja kuelimishana tu..na hata nikimvika mtu mwingine uhusika wa jambo bado haibadilishi maana.
 
Back
Top Bottom