nyabhera
JF-Expert Member
- Nov 25, 2011
- 660
- 732
Iko hivi kwa miaka miwili nimeishi kwenye nyumba ya kupanga. Katika nyumba hiyo chumba cha master kilikua na dirisha moja na ndirisha hilo lilikua direction isiyokuwa na upepo, dirisha lilikua limekingwa na ukuta wa fance.
Katika nyumba hiyo nilianza kujishitukia mbona sipigi mambo kama zamani. Yaani nikijikakamua sana naishia vibao viwili tena vya ovyo ovyo. Mawazo yakanijaa kisirisiri nikaanza kutafuna mizizi ya ile wayouza wamasai lakini wapi nguvu zunashuka tu.
Mungu akabaliki nikamaliza kujenga nyumba yangu. Nyumba hiyo iko nje ya mjini na kunaupepo na kaubaridi kidogo.
Nilipoanza kuishi huku full hewa na kaubarudi nikaona mabadiriko. Kwanza kila nikishituka usingizini nakuta dudu imesimama na kukaza kama enzi zangu. Alfajiri huwezi kwenda kazi bila kushitua.
Sasa sikujua kwa nn imekua hivi sasa baada ya miezi miwili hali ikiendelea, nikamsimulia mshikaji wangu mmoja. Jamaa akacheka sana akaniambia hata yeye alikutwa na madiriko hayo alipohamia maeneo haya.
Baada ya jamma kuniambia hiyo nikaanza kuuliza uliza majamaa mbalimbali wote wamedhibitisha hivyo.
Sasa waume munaojishitukia uchovu mara kwa mara na kupoteza hamu ya uloda chunguzeni vyumba vyenu vya kulala hata sebule piA.
More air ni dauwa.