Huyu binti anachotaka ni kuzalishwa tu.

Huyu binti anachotaka ni kuzalishwa tu.

Zekidon

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2013
Posts
1,903
Reaction score
569
Mshkaji wangu ananiambia kuna binti ambaye yupo 29 yrs hivi,

Yeye anachokitaka kutoka kwake ni kumzalisha tu, jamaa hamuelewi dogo malengo yake baada ya kupata huo ujauzito maana ndicho anachokitaka tu toka kwake.

Kila meseji inayotoka kwa huyo binti, inasomeka " nataka mtoto".

Nini linaweza kua lengo nyuma ya hii nia.

Tumsaidie mawazo huyu ndugu.
 
Subiri watabiri wa mambo watakuja na kukujuza nini lengo lake
 
Yupo sahihi wengi wao wanatamani kuwa na mtoto tu coz kupata mume wa ndoa imekuwa ngumu
 
Haya maisha yamekuwa ya ajabu ajabu sana, yaani mnataka ushauri kwa kila kitu hata cha kijinga namna hii!!!
 
ana akili kama yangu,na mimi nataka kuzalisha tu!
 
Yupo sahihi wengi wao wanatamani kuwa na mtoto tu coz kupata mume wa ndoa imekuwa ngumu
pia wanaangalia na sehemu ambayo atapata mtoto mzuri, mfano mwenye akili, mweupe mrefu n.k.
 
Hakuna kitu kibaya kama kulea mtoto wa mzazi mmoja, ngoja kuna clip nakuwekea sasa hivi. Hua inaniumiza sana sana sana maana hii style ya maisha tunayoichagua ni mbaya sana japo hatuioni kwa sasa. anaelezea na matatizo au matokeo ya kuwa na watoto wasio na wazazi wote waili. sikiliza ukishindwa niambie nikusimulie

Simulia
 
Mabinti wengi katika miaka ya 20s wanachukulia maisha kirahisi. Unaweza kukuta binti anasema sina haja ya kuolewa kwasababu nina elimu yangu na kazi. Sidhani kama kweli hivi vitu ndo hupelekea watu kuolewa. Nililokuja kugundua hawa watu wanapata shida miaka ikisonga mbele. Hawawezi kupata wenzi wanaowapenda na ikitokea wakawapata wanaishia kuchunwa na hizo pesa kutumika kuhonga wasichana wengine. Kwahiyo nawashauri mabinti wasidanganywe na umri na kufikiria wataendelea kuwa warembo milele maana huo uzuri baadae unaisha . La ajabu wengi wakiambiwa bado huona ni kama ngonjera. Kila la kheri kwao wasioamini.
 
Back
Top Bottom