DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,381
- 29,627
Katika mapenzi naamini ili mambo yaende sawia inabidi kuwe na feelings / hisia kati ya wapenzi hao maana hilo uwepo wa hisia utasaidia hata ushiriki wao katika tendo la ndoa.
Swali; Inakuwaje pale mwanamke anapokubali kuendelea kuwa na mahusiano na mtu ambaye hana hisia nae za kimapenzi hata kidogo?
Tena unakuta mwanamke anajiweza kwa kila kitu, nikimaanisha kiuchumi hamtegemei mwanaume.