Salahan
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 2,963
- 3,675
Usijenge urafiki na starehe wakati shida ni jirani yako, hakuna tuzo za ngono zaidi ya ukimwi. Jipange m2 wangu maisha ni magumu na umri haurudi nyuma, wazuri ni wengi lakini yupo umpendae zaidi ya wote na onyesha kumjali, kumheshimu, kumthamini na kumuonyesha yeye ni wa pekee kwa kumwonyesha upendo zaidi, kwan michepuko ni noma hvo baki njia kuu.. Ukimuona mwenzi wako hajatulia , mkanye na ukiona haelekei mwache utapata mwingine atakaekupenda, kukujali, na kukuheshmu...hvo Ungana nami kukomesha mtandao wa ngono. Kwa kuwatumia wote unaowajali.