Natafuta mwanamke wa kuanza nae maisha

Peter Mon

New Member
Jan 22, 2017
2
0
Habari wakuu

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23, nimejiajiri mwenyewe (namiliki stationery & duka la miamala ya kifedha i.e tigopesa).

Natafuta mwanamke ambaye kweli yuko tayari kuanza maisha na awe na mapenzi ya kweli. Elimu yangu ni diploma ya Utawala.
 
Ongeza miaka 6 mbele, dili na hiyo stationary kwanza. Uku majanga ndo kwake mdogo angu.
 
Habari wakuu

Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23, nimejiajiri mwenyewe (namiliki stationery & duka la miamala ya kifedha i.e tigopesa).

Natafuta mwanamke ambaye kweli yuko tayari kuanza maisha na awe na mapenzi ya kweli. Elimu yangu ni diploma ya Utawala.
Mkuu endelea kujaza account 23 yrs bado sana kaka zako tupo na bado tunasubiri licha ya mambo kuwa fresh ww kistationery na tigo Pesa ndio vinakufanya uwaze kuoa
 
Sawa mkuu,ila sio ndoa ni kua na mtu ambae baada ata y miak 5 mnaeza kuingia kwny ndoa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom