Walnut Creek
JF-Expert Member
- Mar 17, 2009
- 5,829
- 6,306
Ujumbe huu uwafikie vijana na wazee ambao muda huu wameshika kamba, panga , sumu, silaha ya moto, panadol au chochote unachotaka kutumia kuondoa maisha yako kisa mpenzi wako amekuvunja moyo na umeshindwa kuvumilia maumivu ya usaliti ningependa nikwambie 80% ya binadamu waliofika miaka 30 wamevunjwa moyo lakini wanaendelea na maisha yao KWAHIYO HAUPO PEKEE YAKO. Acha mawazo ya ajabu na furahia maisha yako.