Napata wakati mgumu kweli katika hili.

am a girl

JF-Expert Member
Nov 1, 2016
748
505
Idk if its normal au vipi but nina shida moja ya u-antisocial...yet sijui ni u-antisocial exactly au uvivu tu unanisumbua.

Yani nakua mzito sana kutoka,utakuta nna appointment na mtu and tunakubaliana vizuri tu but ikifika ile siku nakua mzito sanaaaa idk why...

At least safari zangu binafsi naweza nijilazimishe, na sio zote it depends ina umuhimu gani. Au labda mtu akiniomba nimsindikize pahali..at least yani at least naweza jivuta tena it depends ni nani.

Home hawako strict kivile(though kurudi usiku marufuku)..na hata nikiwa chuo i have all the freedom and all the time in the world ila nakua mzito sana hata kama kuna social events hua siattend...

Never been to clubs,sijawahi enda kwenye harusi yoyote,birthday ya mtu yoyote,semina yoyote etc...

Kuna siku nilikuja kuulizia beach za kigamboni hapa...ila sikuenda hata moja...

Yani most of the time nikitaka kutoka hua naona bora huo muda nilale kama sina cha kufanya...na hata kama nikiwa na hela naona bora nizifanyie mambo mengine kuliko kuzi waste kwa kwenda out...

Its not like sipendi kutoka..napenda and before that nakua very excited ila ikifka mda wa kutoka nakosa mood kabisa,naanza kufikiria viporo(kazi) ambavyo sijamaliza...

Hapa nilipo nina miadi na mtu but nshaona dalili za kumdisappoint.

Is it normal??? how do i deal with that????
 
Kama hukuweza kipindi hicho nahisi kipindi cha jk wa sasa ndio ngumu kabisa kutoka na kushauri komaa tu na kazi maana hiyo ndio inakupa furaha na usipozitimiza unajifeel guilty kwa kuwa na viporo, ila ukiamu kubadili hii hali inawezekana, inahitaji kwanza uwe na ratiba ya kufanya mambo yako ya kazini na binafsi ili ujue kabisa muda fulani ni wakufanya kitu fulani na hayo ya kazini uyatimize kwelikweli kuondoa viporo ambavyo vitakufanya usienjoy yale ya binafsi.
 
Tatizo la kisaikolojia hilo, mwenyewe nilikuwa na home sickness...nikiwa mbali na nyumbani ilikuwa nakosa raha kweli, ila nishajitegemea na nyumbani naona ugonjwa huo umepona..
Jitahidi ujichanganye though, maana madili na wachumba hawapatikani nyumbani
haha true that...i will try
 
Back
Top Bottom