STUNTER
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 13,076
- 17,243
Usiishi na Mpenzi wako utadhani wewe ni
TANESCO, yaani Mpenzi wako hana pa kupata
Umeme zaidi ya Kwako...Jitahidi kuwa karibu na
Mpenzi wako Kimawasiliano kadri uwezavyo. Penzi
bila Close Communication ni kujidanganya na
Kuchapiwa itakuwa kweli siri ya ndani japo wa nje wanajua na wanakucheka
Mapenzi ni kama Kituo cha Mafuta, Ukijifanya wewe
OILCOM uko bize huuzi Mafuta basi ujue wazi kuna
LAKE OIL atasupply
Jinsi unavyokuwa Bize kwa Mpenzi wako ndivyo
Kijamaa kingine kinavyopenya na kuchukua Asilimia kadhaa za moyo wako na mwisho utakuta
huna chako!
STUNTER nimesema.Sasa Jifanye uko bize
kama Mshale wa saa watu wajipigie na kujiibia tani
yao, utabakia Mmiliki Jina tu wakati Hisa anazo
mwingine