py thon
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 2,476
- 4,447
Leo katika pita pita zangu maeneo ya gym khana, Aga khan nilimuona mdada/mama mwenye umri kati ya 39,38 amebeba beseni la mihogo kichwani na mfuko wa maembe na ukizingatia siku kama 3 au 4 zilizopita nilikutana na uzi inayowasema vibaya wajasiriamali hawa wanaoshamiri kwa wingi sasa hivi jijini hivyo nikawa nampiga jicho kwa kuwa alikuwa mbele yangu na barabarani palikuwa na foleni cha kizushi
Mara kidogo nikamuona akielekea kwenye moja ya gari bila shaka aliitwa, mimi nikamkata jicho na kwakuwa nilikuwa kama mita 20 nyuma yake hivyo nilikuwa na advantage ya kuusoma mchezo wote kama atakuwa anafanya kazi yake ya kuuza mihogo au kazi nyingine ambayo wanashutumiwa nayo.
Hilo gari ilifunguliwa mlango na muuza mihogo akatwisha beseni lake chini na kama sekunde kadhaa akaingia ndani ya ile gari, nikafanikiwa kulifikia lile gari na mlango ulikuwa bado upo wazi yule mdada alikuwa anacheka /tabasamu tu na ndani ya ile gari walikuwepo njemba watatu.
Nikalipita lile gari na idea ikanijia ya kupiga picha ila bahati mbaya foleni ikawa inatembea nikashindwa kupata angle nzuri ya kupata picha murua lile gari ikasepa.
Nikaendelea na safari zangu lakini mbele kidogo nikakutana na mtu ninaye mfahamu tukapiga soga mbili tatu na kama 30mins namuona yule muuza mihogo akitembea na kuelekea sehemu ambayo ile gari ilimzuia asiende.
NB: Ile nyuzi iliyotolewa siku kadhaa nyuma kuhusu hawa wajasiriamali watembeza mihogo, ndizi naiamini 100% kuanzia leo.
Nilichogundua
1.Hawa akida dada wanatoa huduma ya chap chap.
2.Lakini najiuliza huwa wanatembea na condoms? Kama hawatembei nazo basi tishio la kuongezeka maambukizi ya VVU ni kubwa.
3.Nyie wanawake mliolewa na wanaume/ akina baba wanaofanya kazi Posta , kazi mnayo kwa niliyoshuhudia Leo.
4.Kama dada yako, mke wako anafanya biashara hiyo nakushauri mrudishe kijijini, ipo siku utatumia gharama kubwa hospitali.
Nawakumbusha: UKIMWI upo jihadharini