Upasuaji wa kurudisha bikra unavyofanywa

Upasuaji wa kurudisha bikra unavyofanywa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
24,960
Reaction score
61,131
Huu Ndio Upasuaji wa kurudisha Bikra Kwa Mwanamke Unavyofanywa ..!!!!

bikra.png


bikra ni nini?


hii ni ngozi laini sana inayofunika uke kwa wanawake ambao hawajawahi kushiriki ngono kabisa, kikawaida mwanamke anaacha kuitwa bikra pale ngozi hii inapoondolewa.... ngozi hii kitaaamu inaitwa hymen.


hymenorrhaphy ni nini?


huu ni upasuaji unaofanyika kuirudisha bikra ya mwanamke ambayo imeshatoka tayari kwa sababu mbalimbali.


aina hii ya upasuaji mara nyingi hazipatikani kweye hospitali za kawaida kwani hazina umuhimu wowote kwenye matibabu na zinaweka kwenye kikundi cha plastic au cosmetic surgery,hivyo mara nyingi hufanyika kwenye hospitali au clinic binafsi na mabingwa wa magonjwa ya akina mama yaani gynacologist..


idadi ya wanawake wanaofanyiwa aina hizi za upasuaji inazidi kuongezeka miaka inavyozidi kwenda mbele kutokana na watu kuanza ngono mapema sana.


watu gani wanatakiwa wafanyiwe aina hizi za upasuaji?


wanawake ambao wanataka kurudisha bikra zao ambazo zimeshatoka wanatakiwa kufanya upasuaji huu kwani hakuna dawa yeyote inayoweza kurudisha bikra na ukiisikia ujue ni utapeli.


katika hali ya kawaida bikra inaweza kutoka kwa kushiriki ngono, kupata ajali na kuumia, tabia ya kujichua, mazoezi kama kuendesha baiskeli au farasi, matumizi ya aina fulani za pedi au magonjwa fulani fulani.


wakati mwingine ngozi ila ya bikra inaweza kua ngumu sana kiasi kwamba ikakataa kuchanika hata kwa kuingiliwa kingono. hivyo mwanamke kutotoka damu wakati wa ngono kwa mara ya kwanza haimaanishi kwamba mwanamke sio bikra.


kwanini wanawake wanafanya aina hizi za upasuaji?


wanawake hua wanasababu mbalimbali kama ifuatavyo


1 kuwaonyesha wanaume zao au jamii zao kwamba wao ni mabikra kipindi cha ndoa hasa kwenye jamii fulani fulani ambazo bikra ni muhimu sana siku ya ndoa.


2 kuwasaidia wenye maumivu ya kisaikolojia baada ya kubakwa, hii inawafanye wapate amani kidogo baada ya upasuaji huu.


3 kurudisha bikra ambayo imeharibika sababu ya kuumia kwa ajari.


upasuaji huu unafanyikaje?


hii ni aina ya upasuaji mdogo ambayo inafanyika kwa kuchoma sindano ya ganzi tu na wala haihitaji kwanamke kupewa dawa za usingizi, japokua kuna wakati mwingine kutokana na mazingira ya mgonjwa daktari anaweza kulazimika kutoa dawa ya usingizi.


kuna aina tatu za upasuji za kurudisha bikra kama ifuatavyo.


1 kuishona tena ngozi ile ya ya hymen ambayo inamfanya mwanamke aitwe bikra kwa kuirudisha pamoja na kuiacha ipone kisha kurudi kama zamani


2 kuweka ngozi ya hymen ya bandia na kuishonea pale kisha kuweka ndani yake aina fulani ya kimiminika kinachofanana kabisa na damu ili damu ionekane ikitoka wakati wa ngono


3 kuikata ngozi ya hymen ambayo ilichanika mwanzoni na kuitoa nje kisha kuirudishia upya na kuishona kabisa kama mwanzo.


wanawake wanaofanya aina hii za upasuaji wanatakiwa wafahamu kwamba wanatakiwa wakae bila kushiriki ngono wiki tatu mpaka miezi mitatu ili bikra ishike vizuri hivyo ni vizuri kuifanya mapema kabla ya ndoa sio unataka ufanyiwe leo afu wiki ijayo uolewe.


nyuzi zinazotumika kushona ngozi ile ya bikra hua haziondolewi yaani baadae huyeyuka ndani kwa ndani.


madhara ya upasuaji huu


upasuaji huu ni salama kabisa ila hua una madhara madogo madogoambayo ni kawaida hata kwa uparesheni zingine kama ifuatavyo.


kutokwa damu; hii ni kawaida hata kwa uparesheni zingine lakini damu hii inatakiwa ikauke na kuondoka baada ya siku chache.


kubana sana; wakati mwingine daktari anaweza akaishona ngozi ile na kuibana sana kiasi kwamba ikawa ngumu sana siku ya kuitoa wakati wa kushiriki ngono. hua na maumivu makali ambayo huisha bila dawa yeyote baadae.


infection; hii husababishwa na kushambuliwa na bacteria baada ya upasuaji lakini huweza kuzuiliwa kwa kupewa dawa za kuzuia hali hii mfano antibiotics


mwisho; aina za upasuji hizi zinapatikana nje ya nchi kwa wingi, kwa nchini tanzania na afrika kwa ujumla zipo pia lakini ni sehemu chache sana.


dunia inakwenda kwa kasi sana hivyo mwanaume ukijikuta umeoa bikra mwenye watoto wanne usishangae...

CHANZO NIMETOA MTANDAONI
 
Ni kweli ipo lakini naskia haitikokuwa kama ile ya mwanzo , zile mbwembwe za kupiga kelele zitakuwa za kawaida si unajua vitu feki havidumu

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Siku hizi pia kuna surgery ya kuongeza labia vile ambavyo muhusika anavyotaka ili kuongeza mvuto wa papuchi yake au kuipunguza. Hii ya kupunguza inafanywa sana pale ambapo muhusika kajifungua kwa njia ya kawaida. Siku nilipoona hiki kipindi kwenye TV nilishangaa sana. Kumbe ni kitu ambacho siku hizi ni cha kawaida sana.
 
Bikira watu wanauziwa feki siku hizi...mashine imeshasoma kilometa za kutosha inafanyiwa operesheni sasa unatoa bikira halaf baada ya cku 2 unakuta shimo la haja
 
Yaani bado watu wanataka kushindana na mungu, kama mlishindwa kumuwekea binadamu pumzi basi hata hiyo bikra itawashinda na baadae mtata vilema kwenye maungo yenu , pmbf nsana
 
Bikra inasumbua kwanza nikikumbuka o level wakat namtoa yule demu aiseee nilikoma mixer kukanda na Maji
 
kweli bhna hapa na mm nitabahatisha mmoja nimtoe coz kila ninae mgegeda teyar wajanja wamepitia
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom