my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,017
- 2,390
Wanaume wa kizungu wakapata jambo la kusikitisha wanalia hawaogopi kuonyesha hisia zao kwenye watu wengi wanalia. Wanajua kulia ni dawa.
Wanaume wa Tanzania hawalii wanaogopa kuonekana sio wanaume wanakufa mapema wanakomaa sura sababu wanarundka magonjwa mwilini.
Ukipata nafasi we lia usone aibu hiyo ndo afya yako, kulia ni afya mwanamme.