Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,095
- 22,729
Habari wana mahaba wa JF.
Leo nawaleteeni kisanga cha kushangaza kama si cha kuchanganya. Kuna brother mkazi mpangaji maeneo ya sinza hapo ambaye yupo vizuri kwenye kipato chake anaishi na mkewe wa ndoa ambaye ni mfanya biashara wa maduka ya urembo kadhaa hapa dar na wana mtoto m'moja wa kike wa miaka 2 na chenji ya miezi kadhaa kufikia miaka 3.
Kisa cha brother huyu kinaanza na inshu ya beki tatu ambaye alimtafuta mkewe na kuletewa na marafiki zake. Huyu dada alikuwa mzuri kweli kweli na ana mvuto kuliko hata mke wa jamaa. Baada ya kumpokea hapo maskani, rafiki ya huyu mke wa mshikaji alishawahi kufika na akapigwa na bumbuwazi kuona house girl ni mkali wa muonekano kumshinda hata mama house na kumshauri kuwa angemrejesha tu kwa maana ataiweka ndoa yake rehani. Mke wa jamaa kasema kuwa hiyo haizuiliki hata akiwa mbaya bado mwanaume atatembea tu na wanawake wa nje si bora wa ndani atajua mapema na hata hivyo anamuamini mume wake kwa maana hana hizo tabia za kurukaruka.
Kadili muda ulienda na maisha yao pia yalisonga kila mtu yupo busy na mambo yake. Siku kadhaa baada ya muda kwenda, kuna siku mke wa jamaa akapokea ujumbe wa mfupi kutoka kwa mtu asiyemfahamu ila aliyejitambulisha kuwa ni jirani wa nyumba ya pili kuwa amekuwa akimshuhudia mume wake akirejea nyumbani nyakati za mchana yeye anapokuwa katika mihangaiko yake na inaonyesha kuna mahusiano ya siri na beki tatu. Aka dadavua kuwa kuna hata siku aliwaona kupitia dirishani kwa maana nyumba yake na yao zimetenganishwa na ukuta tu na kupitia upenyo wa viruva alimuona jamaa akimshikashika beki tatu kimahaba na kumchombeza kisha akaondo kazini as if mtu akimuaga mkewe.
Mke wa jamaa akaamua akaamua kufuatilia ile habari kwa kumuhoji kwanza beki tatu ambaye mwanzo aliruka lakini baadae akakiri kuwa alitongozwa ila hajampa jibu huyo mume wa boss wake kwa maana hakuweza kumkubalia. Mke wa jamaa alimuendea jamaa kumuhoji lakini jamaa akawa mbogo na aka kana kabisa. Hivyo akawa hana namna ila kukausha ili wajisahau ma kuanza tena ili awabambe. Akafanya kumtafuta yule jirani na kumuomba amjuze kama atamuona mume wake akija mara kwa mara tena hapo home.
Maisha yakarejea kama kawaida. Baaada ya muda mke wa jamaa akapata tena ujumbe kuwa jamaa kaoneka tena kufululiza kuja nyumbani kwa wiki kadhaa mida ya mchana na huondoka kabla ya mke hajarejea nyumbani na akirejea ndipo jamaa hurudi baadae akihifanya ndio anafika nyumbani.
Siku moja yule dada alimtumia ujumbe yule jirani kumuuliza kama leo anaona gari ya mumewe imerudi mchana na jirani akasema ndio ipo. Mke wa mtu akarejea haraka sana nyumbani na kuingia ndani taratibu na kufika kukuta jamaa na beki tatu wapo dunia ya amarula.
Mke wa jamaa akaanzisha vagi pale makofi mawili matatu yakapigwa ugomvi ukatulia. Mke ataka beki tatu asepe jamaa akagoma katu katu akasema anaangalia nyumba na mtoto vizuri kam ni vipi basi yeye mwanaume ataondoka. Mke wa jamaa akachanganyikiwa asijue cha kufanya. Hali ikaendelea kwa siku kadhaa ambapo kukawa na hali ya kutokuongea ndani.
Sasa kuna siku ambapo ndicho kiini cha kisa hiki mke wa jamaa alirudi home mapema. Alikaa na beki tatu na kumuhoji kuwa nini alikuwa anakosa hadi akaamua kuanza kutembea na mumewe inamaana vijana mtaani hawapo.
Akamwambia basi kuanzia leo yeye atakuwa akimtimizia hizo haja zake ili asipate shida ya kumtaka mume wake. Ingawa beki tatu hakuwa tayari ila alikubali kwa kuwa aliona ni kama anapewa adhabu kwa kutembea na mume wa boss wake.
Sasa baala ni kwamba huu uhusiano mpya wa house girl na mke wa jamaa umebadilika kuwa wa burudani. Beki tatu akachizika na mchenzo wa boss wake. Kuna muda jamaa akaja kuomba gemu kwa siri lakini beki tatu akamchana kuwa hafurahii kufanya na jamaa tena maana haoni raha sana . jamaa akashindwa kuelewa nani anashare naye maana humo ndani wanaishi watatu tu na mtoto. Siku moja jamaa akaamka usiku akakuta mkewe hayupo kitandani na chumbani kupo kimya akamtizama toilet hakuwapo pia. Akaona basi amcheki sitting room napo hapakuwapo na mtu.......akaamua kumcheki chumbani kwa mtoto napo hapakuwapo na mtu. Basi akaona aende kwenye chumba cha beki tatu kugonga beki tatu alikaa kimya na jamaa aligonga kwa hasira ila hakuna aliyejibu hivyo jamaa akajua pengine mkewe amekasirika kaamua kwenda kulala kwa beki tatu na si chumbani kwa mtoto wao mdogo. Sasa kilichotokea ni jamaa akarejea ndani akawa amekaa tu kitandani akiwa amepatwa na bumbuwazi hajui nini kinaendelea. Akaamua kushika simu ya mkewe ambayo haikuwa na password na kuanza kupitia meseji labda kuna uwezekano mkewe analipizia kwa mwanaume mwingine. Jamaa akakuta text za mkewe na beki tatu whatsapp wakitumiana picha za utupu na wakisifiana na kujadili jinsi namna walivyopeana maraha jana yake. Jamaa ndio akafahamu sasa nini kinaendelea kule chumbani .Mbona alichoka.
Siku iliyofuata jamaa akamua kumwita mkewe na kumuomba kuwa yaishe waache mambo ya kijinga warudi kama zamani na huyu bekitatu asepe. Mke akagoma kabisa kuwa beki3 hawezi kuondoka na ataendelea kuwepo labda jamaa aondoke yeye.
Sasa hadi muda huu jamaa hajui cha kufanya maana mara ya mwisho alipofanya attempt kwa beki tatu inaonyesha amekolea kwa mkewe na hajisikii tena kufanya na jamaa. Na kwa upande wa mke wa jamaa naye amekolea kiasi cha kwamba huwa anakuja mchana na kufanya yake kisha anarejea kazini na hata usiku huwa anatoroka kitandani na kwenda kufanya mapenzi na beki tatu bila kujali jamaa atafikiriaje au atafanyaje. Jamaa aligomea kumlipa mshahara beki tatu mke wake akasema haina shida atasimamia show.
Hiyo ndiyo hali iliyopo sasa kwa jamaa nitawa update na info nyingine nikimegewa tena na source wangu wa hii habari.