Eduche
Member
- Oct 12, 2016
- 13
- 4
Habarini,
Mimi ni kijana wa kiume nipo Kanda ya ziwa (jijini) baada ya kukaa kwa muda bila mpenzi sasa nahitaji mwanamke atakaye kuja kuwa mama watoto wangu, umri wangu ni miaka 27 elimu degree, nimejiajiri mwenyewe.
Vigezo vya nimtakaye;
* We na elimu kuanzia kidato cha nne
* Miaka kuanzia 18-25
* Asiwe amewahi kuolewa
*Awe na mapenzi ya dhati
*awe kanda ya ziwa au anatokea Kanda ya ziwa
Kwa mwanamke aliyetayari anipm nipo serious