raynew
Member
- Jan 17, 2017
- 9
- 14
Jamani mapenzi hayaishi vioja.
Jana nilikuwa na rafiki yangu mmoja tukapanga tukale bata mitaa flani mida ya mchana hivi nikawasha gari yangu mpaka eneo husika ile kushuka tu kwenye gari rafiki yangu akatangulia kushuka mjini kushuka kuangalia.
Wakati napepesa macho nikashangaa kumkuta ex wangu wa zamani mitaa hiyo maisha yamempiga na mimi nikamwangalia kwa dharau tu nimkampita huku nikimcheka tu.
Akanifata hapo hapo eti ananipa mkono tusameheane yaishe nikamwambia sina shida nae but mazoea sitaki wala mapenzi sihitaji naye. Rafiki yangu akabaki kaduwaa tu hatukuagiza chochote pale tukaamua kuamsha zetu akabaki akishangaa.
Usiku nimekumbuka nikacheka sana ukishakua zilipendwa, old fashion kwangu huna nafasi tena.