Wanawake mlio katika ndoa ambao waume zenu hawanywi pombe, mnaishije nao?

data

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
26,616
23,448
Wanawake nataka kujua mnawezaje kuishi nao wanaume wasiokunywa pombe sababu mimi wanaume wa type hiyo huwa nawachukulia kama wanawake.

How do you cope with them.

But don't judje me.

Ni experience tu I had.
 
Usimhukumu mtu wakati hujui yaliyompata au yanayompata katika maisha hadi akawa na uamuzi wa kutokunywa pombe.(kuna wengine kidogo waue sababu ya ulevi, wengine kunusurika ajali sababu ya ulevi na kadhalika)


Mwanamke anaolewa na mume sio pombe,mwanamke mwenye pendo la dhati hawez mdharau mume wake kisa hanywi pombe.
 
Wanawake ambao mko ktk ndoa ama mahusiano una mtu hanywi pombe bas shukuru Mungu.
Pombe inaharibu ubongo, pombe inaharibu ini, pombe inasababisha cancer, pombe inasababisha ukosefu wa nguvu za kiume, ...niendeleee.....
 
Ni raha sana kwasababu akiwa na mawazo kama yako unajua ndo akili zake zilipoishia na sio pombe inaongea
 
Back
Top Bottom