Niaje wana Jamvi?
Nakumbuka miaka ya nyuma tulizoea kuona wanaume ndo wana vitambi hasa wale wenye fedha japo wachache waliozoea shida nao walikua na vitambi. Ila sasa imekua tofauti na miaka ya...
Habari za saa hizi wakuu na poleni kwa mchaka mchaka wa siku nzima..
Najogea mahali hapa nikiwa nahitaji mawazo yeye wanajf wenzangu. Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili(chuo kapuni) nina huyu...
Nimefanya utafiti mkubwa kwa kipindi cha week moja nimegundua aya mambo yafuatayo .
Ukipita mitandaoni utagundua asilimia kubwa ya lawama dhidi ya mapenzi na ndoa utaona wanaume ndo wanaongoza...
Wanabodi,
Yamenikuta mwanaume mwenzenu, yaani shemeji yenu aliyonifanyia sitakaa nisahau, Juzi niliamua kujipumzisha nyumbani sasa nikiwa busy kuangalia movie simu ya wife ikaita maana alikua...
Una Mimba eh...Sawa....
Ni Matunda ya 'shughuli
uliyoshughulika kuishughulikia siku ile ya
shughuli,...Unasema hukutegemea...Hapo ndo
wazimu unapoanzia,
Unamnywesha farasi wako
Petroli ili akimbie...
Kisa chenyewe kipo hivi..
Asubuhi ya tarehe 17/2 mwaka huu nilimtafuta mpenzi wangu kwenye simu kumjulia hali kwani jana yake alikuwa mgonjwa. Bahati mbaya nilimtafuta kwa muda mrefu bila...
Mimi ni kijana wa kiume nina miaka 27 elimu yangu ni diploma ya ualimu na nimebahatika kuajiriwa serikalini shule moja iliyo apa mkoni singida natafuta mwanamke ambae atakuwa tayar kuolewa na...
Mabibi na mabwana,
Nimepitia michango yenu yote mlioitoa kwenye uzi wangu wa jana uliosomeka
"Nataka kujilipua kuoa".
Nawashukuru nyote.
Maamuzi niliyoyafikia:
Nimeamua kujilipua kuoa.
Na sasa...
Nilipata wasaa wakumtembelea bro Arusha kufika kama kawaida nilikaa kidogo japo miezi miwili basi pale kwa bro kulikuwa na ndugu wengine wamekuja pale mmoja nilimkuta mwingine alikuja baada ya...
Nimekuwa nikichepuka na mke ya Mutu kwa muda sasa bila hata ya uyo bwana wake kujua
Kama ilivyo kawaida za mwizi ni 40, jana mme wake kanasa sms zangu kwa wife wake na kathibitisha mimi ndio huwa...
Ninapoelekea sasa nitasitisha kuwa na Urafiki na Wanaume kwani sijui ni kwanini kila nikianzisha tu Urafiki na Mwanaume mwenzangu halafu akinikaribisha tu Kwake basi nikimkuta tu ama Demu au Mkewe...
wakuuu!
demu wangu baada ya kufanya ujasusi wake wa kimya kimya ingawa nilikuwa najua kama nipo chini ya uchunguzi
sasa juzi kati hapo kaja na wazo mgando eti akae na simu yangu japo kwa siku...
Habari GT wa humu MMU.
Niliwamiss kwa muda sana members wenzangu. Twende kwenye point.
Jamani ndugu zetu wasichana na wanawake hivi mnataka sisi tuweje ili mtupende?
Maana kila mtu analeta visa...
Kama inavyojieleza hapo kichwa cha habari wale mwenzangu tunaopenda kukaa Yale maficho yenye watoto wazuli hebu tukutane hapa kidogo.......
Mimi moja kati ya maficho ninayoyafahamu kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.