Tofauti kati ya ndoa na tendo la ndoa

McCain

JF-Expert Member
Dec 2, 2016
1,169
517
Ipi tofauti halisi ya ndoa na tendo la ndoa, Mtoto wa ndani ya ndoa Vs wa nje ya ndoa
 
ndoa ni ridhaa ya kuishi pamoja hususan kiiman
tendo la ndoa ni kitendo kinachofanywa na wanandoa na kinyumechake ni uzinzi na kwa Mungu adhab yake ni kubwa sana na nzito.
 
* ndoa ni makubaliano ya kuishi mtu mke na mtu mume kwenye paa moja, na wakati mwingine sasa hivi imekuwa ya jinsia moja.
* tendo la ndoa ni tendo la kujamiana ambako nako hufanywa hata na watoto ambapo hawastahili kufanya haya mambo.

na kwa taarifa nko kwenye kitengo cha nidhamu na imethibitika watu wengi wanakosea hili tendo kwa kufanya either na vijana/wasichana walio chini ya miaka 18. Hii ni hatari na tuko kwenye mikakati ya kuwabamba na kuwafikisha kwenye vitengo maalumu vya kushughulikia hili tatizo.

Warning!!!!!!!!! Sexual exploitation is very bad and we should all say no to this.
 
Kama ni uzinzi sasa tendo la ndoa linatokeaje
 
Watoto wanafanyaje tendo la ndoa wakati hawajaoana
 
Shem upo deep. sina hata la kuongezea
 
Ipi tofauti halisi ya ndoa na tendo la ndoa, Mtoto wa ndani ya ndoa Vs wa nje ya ndoa
Tendo la ndoa ni maingiliano ya kimwili yanayofanywa na wanandoa baada ya kufunga ndoa.
Wanaofanya maingiliano hayo ya kimwili kabla kufunga ndoa huwa wanafanya zinaa/uesharati.
Hata mmoja wa wanandoa mmoja wapo akitoka nje ya ndoa na kufanya maingiliano hayo na mtu mwengine pia huwa anazini.
 
Ndoa ni maagano kati ya mwanaume na mwanamke kua kitu kimoja na kutengeneza familia.

Tendo la ndoa ni muungano wa wanandoa kwa ajili ya kupata watoto na kujiburudisha. Na ni dhambi kufanya hili tendo na mtu hasie mume au mke wako.

Mtoto yeyote anaepatikana ndani baada ya mwanaume na mwanamke kifunga ndoa anaitwa mtoto wa ndani ya ndoa na yeyote anaepatikana pasipo na ndoa anaitwa mtoto wa nje ya ndoa.
 
Ndoa ni commitment ambayo ni kama kuuza maisha yako kwa mtu MBELE YA MUNGU na jamii (Hapa kwenye Mungu ndo mimi pamenishinda siku zote sababu Mungu hataniwi wala hajaribiwi)

Watu wengi wana committ juu juu tu, ndo maana ukishaolewa au kumuoa mtu ukamwacha utaishi maisha ya kutanga tanga milele. Hakuna utakachofanya kiendeee. Utatanga tanga mpaka siku yako ya mwisho. Kile kiapo kinakulialia.

Kuna mtu aliniuliza mbona Lara nyie mnauza mechi sanaaa, mnafanya mabalaa juu ya mabalaaawizara za mambo ya nje kibwenaaa, afu design kama dhambi zenu zinafumbiwa machooo. Hahahahaaaa. Mi nikiuza mechi mmoja tu napata mabalaaaa, nakujutaaaa vibaya mno. Jibu ni simple, WE ARE FREE SPIRITS. Hatuna deni na mtu, wala ahadi na mtu, hatujaahidi chochote mbele ya yoyote. IT IS A FREE COUNTRY kwa upande wetu.

Japo tunafanya mapenzi ila wewe ulimuita Mungu, ukaita watu wapatao 300 washuhudie nadhiri zako, sasa ukiuza mechi hata moja Mungu mwenyewe, na wale wote waliokuombea heri, wanashuhudia na heri zao zinarudiiii.

Ila hawa senior bechelor wana commit mass adultery, lies, heart breaks ila maisha yao baridaaaa.
 
Tendo la ndoa ni maingiliano ya kimwili yanayofanywa na wanandoa baada ya kufunga ndoa.
Wanaofanya maingiliano hayo ya kimwili kabla kufunga ndoa huwa wanafanya zinaa/uesharati.
Hata mmoja wa wanandoa mmoja wapo akitoka nje ya ndoa na kufanya maingiliano hayo na mtu mwengine pia huwa anazini.
Inakuwa ni uasherati ambao c tendo la ndoa inamaana mkiingiliana mliooana tu ndo tendo la ndoa ila kama hamja oana sio tendo la ndoa
 
Tendo la ndoa ni maingiliano ya kimwili yanayofanywa na wanandoa baada ya kufunga ndoa.
Wanaofanya maingiliano hayo ya kimwili kabla kufunga ndoa huwa wanafanya zinaa/uesharati.
Hata mmoja wa wanandoa mmoja wapo akitoka nje ya ndoa na kufanya maingiliano hayo na mtu mwengine pia huwa anazini.
Kama akifanya tendo la ndoa na mtu ambaye ameolewa tayari, sio mbaya ila akifanya na mabinti na vijana ambao hawajao au kuolewa ndo so. Wanandoa kwa Wanandoa
 
*
* tendo la ndoa ni tendo la kujamiana ambako nako hufanywa hata na watoto ambapo hawastahili kufanya haya mambo.

.

Wifi darling kitendo cha kusex pasi na ndoa ni uzinzi ....sio tendo la ndoa tena
 
Ndoa ni muunganiko wa watu wawili wa jinsia tofauti (mume na mke)wenye umri usiochini ya miaka 18 ambao hawana mahusiano katika damu zao (kama ndugu)ambao unathibitishwa na kushuhudiwa na jamii na taasisi zilizokubalika katika jamii husika. Tendo la ndoa ni kile kitendo cha hao wawili kuingiliana kimwili baada ya kufuata taratibu za muungano wao.
 
Back
Top Bottom